B Bungukwetu Member Joined Jan 24, 2017 Posts 34 Reaction score 14 Aug 23, 2017 #1 Mwenye uelewa wa lini msimu wa maembe unaanza au wapi zinapatikana kwa sasa, tafadhali naomba kujulishwa..nimepata soko kubwa la ku supply.
Mwenye uelewa wa lini msimu wa maembe unaanza au wapi zinapatikana kwa sasa, tafadhali naomba kujulishwa..nimepata soko kubwa la ku supply.
bigmind JF-Expert Member Joined Oct 28, 2015 Posts 12,457 Reaction score 12,705 Aug 23, 2017 #2 Mwezi wa 10 kwa pwani..! Kanda ya ziwa hope wao wanawahi mapema..! Sent using Jamii Forums mobile app
Mwezi wa 10 kwa pwani..! Kanda ya ziwa hope wao wanawahi mapema..! Sent using Jamii Forums mobile app
sergio 5 JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 9,744 Reaction score 11,158 Aug 23, 2017 #3 Bungukwetu said: Mwenye uelewa wa lini msimu wa maembe unaanza au wapi zinapatikana kwa sasa, tafadhali naomba kujulishwa..nimepata soko kubwa la ku supply. Click to expand... Kesho
Bungukwetu said: Mwenye uelewa wa lini msimu wa maembe unaanza au wapi zinapatikana kwa sasa, tafadhali naomba kujulishwa..nimepata soko kubwa la ku supply. Click to expand... Kesho
KING DUBU JF-Expert Member Joined Mar 7, 2017 Posts 918 Reaction score 1,240 Aug 23, 2017 #4 Bungukwetu said: Mwenye uelewa wa lini msimu wa maembe unaanza au wapi zinapatikana kwa sasa, tafadhali naomba kujulishwa..nimepata soko kubwa la ku supply. Click to expand... Huku kwetu mwezi 11.
Bungukwetu said: Mwenye uelewa wa lini msimu wa maembe unaanza au wapi zinapatikana kwa sasa, tafadhali naomba kujulishwa..nimepata soko kubwa la ku supply. Click to expand... Huku kwetu mwezi 11.
B Bungukwetu Member Joined Jan 24, 2017 Posts 34 Reaction score 14 Aug 24, 2017 Thread starter #5 bigmind said: Mwezi wa 10 kwa pwani..! Kanda ya ziwa hope wao wanawahi mapema..! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Asante
bigmind said: Mwezi wa 10 kwa pwani..! Kanda ya ziwa hope wao wanawahi mapema..! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Asante
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,932 Reaction score 30,046 Aug 24, 2017 #6 Songea mwezi wa 12
Sadiki Abdallah JF-Expert Member Joined Jul 13, 2016 Posts 885 Reaction score 583 Aug 24, 2017 #7 Shark said: Songea mwezi wa 12 Click to expand... Songea sehemu gani? Sent using Jamii Forums mobile app
Shark said: Songea mwezi wa 12 Click to expand... Songea sehemu gani? Sent using Jamii Forums mobile app
L lingula70 JF-Expert Member Joined Apr 16, 2014 Posts 4,053 Reaction score 1,966 Aug 24, 2017 #8 Dar zipo Sent using Jamii Forums mobile app
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,932 Reaction score 30,046 Aug 24, 2017 #9 Sadiki Abdallah said: Songea sehemu gani? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sehemu nyingi, ila sanasana nilipoziona mimi mwaka jana na mwaka juzi ni Njia ya kwenda Msumbiji kupitia mpaka wa Mitomoni kisha Manda
Sadiki Abdallah said: Songea sehemu gani? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sehemu nyingi, ila sanasana nilipoziona mimi mwaka jana na mwaka juzi ni Njia ya kwenda Msumbiji kupitia mpaka wa Mitomoni kisha Manda
L lingula70 JF-Expert Member Joined Apr 16, 2014 Posts 4,053 Reaction score 1,966 Aug 24, 2017 #10 Zipo kibiti Sent using Jamii Forums mobile app