Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Ligi Kuu ya NBC kwa msimu wa 2025/2026 inatarajiwa kuanza rasmi Septemba 16, 2025, ambapo mashabiki wa soka nchini watashuhudia tena ushindani mkali miongoni mwa vilabu vikubwa na vidogo, huku kila timu ikisaka pointi muhimu kuanzia hatua za mwanzo za ligi hiyo maarufu nchini Tanzania.
Sasa hivi, timu ziko katika harakati za kusajili wachezaji mbalimbali ili kuboresha vikosi vyao na kuhakikisha kuwa zinaingia kwenye msimu mpya zikiwa na nguvu na ushindani wa kutosha.
Unatamani timu yako ianze na nani?