Msimbazi damu

Ngonepi

JF-Expert Member
Jun 2, 2013
1,872
1,200
Nadhani picha inajieleza, hapa shemeji yenu ana maelekezo maalum mpaka mashuka ya kutandika!!
Watu na ushabiki wetu, na asubuhi mimi ni wa kwanza pale mtaa wa Msimbazi kudiskas timu yetu!!
 

Attachments

  • IMG_20170616_161358.jpg
    71.8 KB · Views: 50
  • IMG_20170616_161405.jpg
    73.4 KB · Views: 40
Asubuhi hii uko msimbazi hata kadi ya mwanachama hai huna.Nyie ndo wapiga kelele wenyewe
 
Hahaha mbona kama umepaniki Kiongoz kuna shida yoyote,
Unajua neno panic wengi tunalitafsili tofauti, na kusababisha kuliweka pasipostahili, wengi tunalitumia neno hili, kama jazba yaani panic maana yake jazba. Kumbe neno hili linaingia hapa, kuwa wasiwasi, kutujiamini, hofu, kunakotokana kupata/kona jambo fulani wakati huo huo, kwa maana nyingine huitwa mchecheto.Sasa hapo kwako sioni, cha kunifanya niwe na panic.
 

Basi una mchecheto,..
 
Maisha ya kwa sangoma ndio maana Zari aliyakimbia maana hata baada kupata pesa itakuwa alikua anayaota majoka na usanii waliokuwa wakifanyia watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…