Msimamo wa Urusi juu ya Islamic State ni Upi?

chikutentema

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Posts
7,730
Reaction score
5,011
Jamani Urusi ni moja kati ya nchi zenye misimamo tata, mara nyingi mi uwa nipo side ya Urusi kwa kuwa Mmarekani mi simpendi kutokana na mambo yake. Daima nchi inayokuwa kinyume na Magharibi (NATO) mimi huwa upande wake. Ila kwa hili la Islamic state kama si wapiganaji wa kutengezwa na US basi kwa mara ya kwanza naweza kuwa kinyume na Urusi kama atawaunga mkono. Msimamo wa Urusi ni upi? China nayo msimamo wake ni upi?
 
Mkuu, mimi ni muumini wa siasa za ujamaa, nikiwa na maana nawasapot akina Karl max, na wafuasi wake wote mpaka Mao, na Baba wa taifa letu Nyerere.
Urusi ndiyo iliyoweka wazi kuhusu ISIS kuwa ni Israel/American made.
Tatizo la nchi za kijamaa huwa hawataki kuingilia maswala ya nchi nyingine kabisaaaa. Ingawa ukweli wanauona.
Putin ni clever as much as Obama. Ndo maana officially hajasema yuko upande gani lakini picha kamili anayo. Kuna bomba la mafuta linataka kujengwa kupitia syria mpaka Israel. Sasa wanataka kuweka utawala puppet Syria ili mradi huo ufanyika kwa ukamilifu. Assad yuko kinyume nao kabisa. Kwa hiyo ISIS/ISl wanaandaa mazingira tu, lakini hizi airstrike ni kwa ajili ya serikali ya Assad.
 
Kweli mkuu mimi mwenyewe ni muumini wa Marxism theory. Kiukweli Hata mimi sina uhakika kama kweli hawa ISIS wapo kinyume na US, kwani mwanzo walikuwa wana-support ya Marekani na mamburura wenzake(Uingereza, Ufaransa na Israel) kwa hoja kwamba Assad alitumia silaha za sumu, leo hao hao wamekuwa maadui zake. Shame on #US na #NATO wote. Bado niko Upamnda wa Urusi.
 
Kweli mmekutana akili zinafanana aseee! Kwa akili zenu urusi na china ni wajamaa? teh! teh! Eti na tanzania ni wajamaa hadi kwenye katiba inasomeka hivyo, maweeeee!
 
Ebwana urusi ni watu wenye msimamo awajabainisha lakin kama watakuwa pamoja na madhwalim hao ambao mwanzo walikuwa wakiwapa silaha kule siria
 
Mi nadhani wewe ndio umekurupuka, ninyi ndio mnasema Tanzania imetokana na muungano wa nchi mbili na kuunda nchi moja.
 
Ebwana urusi ni watu wenye msimamo awajabainisha lakin kama watakuwa pamoja na madhwalim hao ambao mwanzo walikuwa wakiwapa silaha kule siria

Mkuu umechanganya, marekani na washirika wake ndio waliowapa waasi silaha huko syria ambao ndi ISIS leo na Urusi alikuwa upande wa Assad na akaitahadharisha Marekani kuwa kama wakiivamia Syria basi ni kama Mrusi kavamiwa yeye
 
Kushindana na marekan inahitaj akili kubwa sana hasa kwenye hili la mafuta uarabuni,bila kusahau familia za Rothschild na rockerfeler family ambazo mafuta n mtaji wao mkubwa na wako behind hii issue for their own interest
 
Kwa akili zako unadhani urusi itakuwa upande wa ISIs? Hilo swali hata mtoto mdogo atakujibu... Usijitoe akili
 
Puttin is a clever boy.

Aliwaambia tokea mwanzoni USA na washirika wake ya kwamba wasiwape silaha wale waasi wanaopigana kuiangusha serikali ya bashar al assad lakin marekani hakuskia.

Kwa kuwa lengo lake kubwa lilikuwa ni kuangusha utawala wa assad basi alichofanya ni kuendelea kuwapa hao waasi silaha kisha baadae akakitengeneza kiini macho hiki cha isis km vile alivyokatengeneza kiini macho cha alqaeda kisha akakipa umaarufu na kutangaza kuwa anapigana nacho kwa kuwa kinapandikiza siasa kali.
Lakin ukiangalia kwa umakij muasisi wa hii drama yoote ni mwenyewe mmarekani kwa interests zake.

Puttin na Assad ni washirika.

Puttin so far hawez kuona assad anaanguka kisha mmarekani aweke utawala wale kwa hilo hayupo tayari.

Wewe jiulize.

1.Hawa Isis wanapigana ili kuiangusha serikali ya Assad syria.

2.Marekani hapo hapo anapambana kuiangusha serikali ya syria.

Ila anachofanya ni kuwapiga isis at the same time kuwapa silaha waasi wengine anaowaita ni moderate rebels wapigane na isis in the ground war and at the same time waasi hao hao wapigane na Assad.

Umeona ujinga wa mmarekani sasa.
Kweli mkuu mimi mwenyewe ni muumini wa Marxism theory. Kiukweli Hata mimi sina uhakika kama kweli hawa ISIS wapo kinyume na US, kwani mwanzo walikuwa wana-support ya Marekani na mamburura wenzake(Uingereza, Ufaransa na Israel) kwa hoja kwamba Assad alitumia silaha za sumu, leo hao hao wamekuwa maadui zake. Shame on #US na #NATO wote. Bado niko Upamnda wa Urusi.
 
Puttin is a clever boy.

Aliwaambia tokea mwanzoni USA na washirika wake ya kwamba wasiwape silaha wale waasi wanaopigana kuiangusha serikali ya bashar al assad lakin marekani hakuskia.

Kwa kuwa lengo lake kubwa lilikuwa ni kuangusha utawala wa assad basi alichofanya ni kuendelea kuwapa hao waasi silaha kisha baadae akakitengeneza kiini macho hiki cha isis km vile alivyokatengeneza kiini macho cha alqaeda kisha akakipa umaarufu na kutangaza kuwa anapigana nacho kwa kuwa kinapandikiza siasa kali.
Lakin ukiangalia kwa umakij muasisi wa hii drama yoote ni mwenyewe mmarekani kwa interests zake.

Puttin na Assad ni washirika.

Puttin so far hawez kuona assad anaanguka kisha mmarekani aweke utawala wale kwa hilo hayupo tayari.

Wewe jiulize.

1.Hawa Isis wanapigana ili kuiangusha serikali ya Assad syria.

2.Marekani hapo hapo anapambana kuiangusha serikali ya syria.

Ila anachofanya ni kuwapiga isis at the same time kuwapa silaha waasi wengine anaowaita ni moderate rebels wapigane na isis in the ground war and at the same time waasi hao hao wapigane na Assad.

Umeona ujinga wa mmarekani sasa.

Marekani ni mwehu
 
purtin yuko sahihi hawa IS walitengenezwa na USA wakat wanataka kumtoa sadam sasa wamewageuka wanawaita magaid lakin 2004 waliitwa waliitwa wanaharakat
 
Puttin is a clever boy.

Aliwaambia tokea mwanzoni USA na washirika wake ya kwamba wasiwape silaha wale waasi wanaopigana kuiangusha serikali ya bashar al assad lakin marekani hakuskia.

Kwa kuwa lengo lake kubwa lilikuwa ni kuangusha utawala wa assad basi alichofanya ni kuendelea kuwapa hao waasi silaha kisha baadae akakitengeneza kiini macho hiki cha isis km vile alivyokatengeneza kiini macho cha alqaeda kisha akakipa umaarufu na kutangaza kuwa anapigana nacho kwa kuwa kinapandikiza siasa kali.
Lakin ukiangalia kwa umakij muasisi wa hii drama yoote ni mwenyewe mmarekani kwa interests zake.

Puttin na Assad ni washirika.

Puttin so far hawez kuona assad anaanguka kisha mmarekani aweke utawala wale kwa hilo hayupo tayari.

Wewe jiulize.

1.Hawa Isis wanapigana ili kuiangusha serikali ya Assad syria.

2.Marekani hapo hapo anapambana kuiangusha serikali ya syria.

Ila anachofanya ni kuwapiga isis at the same time kuwapa silaha waasi wengine anaowaita ni moderate rebels wapigane na isis in the ground war and at the same time waasi hao hao wapigane na Assad.

Umeona ujinga wa mmarekani sasa.

You've almost speak the truth but a bit biased concerning their motives:

ISIS grew out of opportunity and the opportunity presented itself thanks to American action and inaction. The US left Iraq with an equipped army rather than a stable army, as it is run by a rather unstable government, courtesy of the US invasion. As a result, the equipments used by this rather unstable army all ended up in the hands of the "enemy combatants" such as the ISIS soldiers after these rather unstable army disbanded at the first sight of the "enemy combatants".

Iraq's leadership is to blame--but you need to look at who propped them up in the first place.
Assad's regime is in part to blame for ISIS's rise. This whole ISIS thing is a maneuver, demanded from New York as part of the Axis of Good, to oust Assad.
That makes a whole lot of sense. That's not unlike blaming a woman for being raped because she was a woman. If you didn't have the parts, you couldn't be raped, so in effect you enabled your own violation.

I would compare this to the Chinese and Russian position on Al Qaeda during the global war on terror. Both were against it, but since it didn’t pose as much of an immediate threat to them, they were happy to let somebody else do the work.

China is a major investor in iraq. China don't trust US, he's afraid his troops could be manipulated by US and suffer a devastated loss, plus US criticisms on his policy concerning Xinjiang province. And perhaps scared to become major target of terrorism.

Meanwhile Russia is not happy about US intention toward Assad.
Sryia (Basha alsadr is a friend of Russia) Russia wouldn't want to see his friend destroyed. But that is also among the US military motives .That's why US supports Syrian rebels

Thank You Comrade.

I can alomst agree with you.

Thats exactly point which i was trying to make.

Thats the game which we call our friend's Enemy is not our friend...he is our enemy too.

If Isis is fighting Assad and USA is also arming what he calls moderate rebels to fight ground war with assad.

At the same time USA is also arming moderate rebels to fight isis dont you think that this is political ponography??

Have you heard anything in your lifetime called alqaeda and isis before the west's invansion towards mideast??

Thats why we are saying isis n alqaeda is the CIA game to fool the world while USA and her allies keep on stealing barrels of crude oil in iraq n syria.
You've almost speak the truth but a bit biased concerning their motives:

ISIS grew out of opportunity and the opportunity presented itself thanks to American action and inaction. The US left Iraq with an equipped army rather than a stable army, as it is run by a rather unstable government, courtesy of the US invasion. As a result, the equipments used by this rather unstable army all ended up in the hands of the "enemy combatants" such as the ISIS soldiers after these rather unstable army disbanded at the first sight of the "enemy combatants".

Iraq's leadership is to blame--but you need to look at who propped them up in the first place.
Assad's regime is in part to blame for ISIS's rise. This whole ISIS thing is a maneuver, demanded from New York as part of the Axis of Good, to oust Assad.
That makes a whole lot of sense. That's not unlike blaming a woman for being raped because she was a woman. If you didn't have the parts, you couldn't be raped, so in effect you enabled your own violation.

I would compare this to the Chinese and Russian position on Al Qaeda during the global war on terror. Both were against it, but since it didn't pose as much of an immediate threat to them, they were happy to let somebody else do the work.

China is a major investor in iraq. China don't trust US, he's afraid his troops could be manipulated by US and suffer a devastated loss, plus US criticisms on his policy concerning Xinjiang province. And perhaps scared to become major target of terrorism.

Meanwhile Russia is not happy about US intention toward Assad.
Sryia (Basha alsadr is a friend of Russia) Russia wouldn't want to see his friend destroyed. But that is also among the US military motives .That's why US supports Syrian rebels

Thank You Comrade.

I can alomst agree with you.

Thats exactly point which i was trying to make.

Thats the game which we call our friend's Enemy is not our friend...he is our enemy too.

If Isis is fighting Assad and USA is also arming what he calls moderate rebels to fight ground war with assad.

At the same time USA is also arming moderate rebels to fight isis dont you think that this is political ponography??

Have you heard anything in your lifetime called alqaeda and isis before the west's invansion towards mideast??

Thats why we are saying isis n alqaeda is the CIA game to fool the world while USA and her allies keep on stealing barrels of crude oil in iraq n syria.
Red: you've made my day ha ha ha i love that...

But something might be bitter for you to swallow is..
ISIS motives are not inline with US Motives. I mean you can not divorce the role of Islam from these atrocities.

Countries like Saudi Arabia, Qatar, Yemen are to be blame for breeding extremists and financing them. And i think the biggest target of Sunnis militant in Iraq and Syria was to overthrown Shiite governments in the Arab world.
Though it didn't work the way they wanted.-It has backfired.

e.g. Long ago Al zarqawi amongst the US most wanted Al qaeda terrorist operated in iraq under Osama Bin laden. Unlike Osama, Al Zarqawi was a radical who didn't know the rule of the game. He went far by killing his fellow Muslims. Osama Bin Laden warned him about the repercussions and the trust he supposed to hold on, for him to win the people's hearts, but he declined. Osama sent another person to carry on the operations, Because Al Zarqawi ignored orders from Osama. It went on until US executed him.

Likewise the caliph Al Baghdad was a very useful tool to implement Jihadi, but he may be arrogantly divorced from the overall missions and vision of the group. For that he upsets his backers (Arab countries).
Currently it is common to hear Arabs rose against ISIS and saying their religion is being insulted by ISIS.

3c4fe7e29a2ac33ceeffc6337502ba48cf8e769d.jpg

mufti declared war to these exteremists. they know their religion is used to support the killing, crussifixion , behading and so on
Hit extremists with 'iron hand': top Saudi cleric
 
Jamani Urusi ni moja kati ya nchi zenye misimamo tata, mara nyingi mi uwa nipo side ya Urusi kwa kuwa Mmarekani mi simpendi kutokana na mambo yake. Daima nchi inayokuwa kinyume na Magharibi (NATO) mimi huwa upande wake. Ila kwa hili la Islamic state kama si wapiganaji wa kutengezwa na US basi kwa mara ya kwanza naweza kuwa kinyume na Urusi kama atawaunga mkono. Msimamo wa Urusi ni upi? China nayo msimamo wake ni upi?

Mrusi hachezo cinema za magharibi na China lake jicho tu. Hawa jamaa wanajua hawa wamarekani na wenzao wanapenda waonekane heroes (si unaona wana michezo ya super heroes mingi tu), sasa wanacreate problems, kisha they solve it, kisha mnashangilia bwana USA amewasaidia, lakini masikini hamujui kama aliwaharibia, na anawaharibia kwa njia nyengine. Pana project pale Middle East, wamagharibi wanaiita the new middle east.
 
Back
Top Bottom