Simba wamekosea sana kuwaruhusu Waarabu kuja na vyakula vyao, maji yao, walinzi wao, nk. Hii kitu imesababisha kamati yao ya ufundi kuchanganyikiwa kabisa.

Hapo utopolo imepata za kumalizia hela ya Kagoma, Kibabage na Andambwile. Kwa hiyo dirisha dogo Kagoma anaenda kucheza utopolo. Usajili wa Simba ni 7B, wa utopolo goli la mama πππ