Wewe Mwanafalsafa ni mwanafasafa fake! You don't think logically! Kwa sisi tuliosoma somo la Philosophy for 3yrs(degree) tuko sentensi yako ya kwanza tunagundua kabisa kuwe wewe umekodi jina, lakini hujaingia darasa la falsafa. Philosophy a greek word which means LOVE OF WISDOM.(Philos-Love,Sophia-Wisdom) . From the point of law, the terms Lawful and illegitimate are quit different. An act can be lawful in the eye of the law, but not legitimate(illegitimate). Most of the contractual deals which the Government of TZ enters with second parties are lawful, but illegitimate.eg Richmond. The same applies to the status of the current president, that his presidency is lawful as per constitution, but his means to the presidency is illegitimate(according to Chadema). Pholosophia ancilla Lecis(Lex)-Philosophy is a maiden(assistant,helper)of Law.
Hapo na mimi nimekupata vyema, ILA bado uko ugumu katika kutofautisha maneno legitimate na lawful kwa tafsiri ya kawaida.
neno legitimate linaweza kutumika katika maana tofauti-tofauti lakini kwa msingi wa mada yetu linaweza kuwa defined kama: Authorized, sanctioned by, or in accordance with law. Wakati mwingine maneno
legitimate, lawful na
licit hutumika kama "synonyms" yaani yanabeba maana moja na huweza kutumika interchangeably. Neno Legitimate is similar to
legal. For anything to be legal it should conform with the law and hence lawful, and for anything to be legitimate it should have legal rights.
HOWEVER, in a
very strict sense, anything legitimate
is lawful
BUT not everything lawful is legitimate or legal.
Pamoja na ufafanuzi wote huu, bado maneno lawful na legitimate yana ugumu kuyatofautisha kwa uelewa wa kawaida.
USHAURI:
CHADEMA bado hawajakwepa mkanganyiko kwa kutumia maneno haya ya Kiingereza. Binafsi naelewa mantiki ya CDM katika hili la matokeo ya uchaguzi, na hakika naunga mkono. Ila tatizo ni namna ya kulieleza katika lugha nyepesi ya Kiswahili ili watanzania wote waelewe. Pengine anayetakiwa kuelewa zaidi hili ni yule Mtanzania wa kawaida pale Kahama, Biharamulo, Nachingwea, Kisangara, Nyumba ya Mungu, Lemkuna n.k. kuliko mimi na wewe hapa JF, pengine mm na ww hata kura hatukupiga.
CDM go public, visit the villages and tell the people why the presidency of Kikwete is lawful but not legitimate, let people know that the need for a better constitution is necessary, urgent and can no longer wait. They will understand as we do and will shut the bowls of the media that wants to lead your standing stray.