PAFECT
Member
- Apr 19, 2013
- 16
- 2
Ndugu zanguni huwa nakaa chini nafikiria kuhusu nini chanzo cha usaliti lakini mara zote huwa sipati jibu, upo mfano mmoja hai nilioshuhudia kupitia rafiki yangu kipenzi hapa chuo, jamaa alifanikiwa kumpata binti mmoja na kuingia nae ktk mahusiano kwa kutumia moja ya mitandao ya kijamii, yule binti mwanzon alikuwa muwazi sana akakiri kuwa amewahi kuwa na mpenzi lakin wamepoteza mawasiliano bila hatima ya mapenzi yao kupatikana.
Lakini baada ya miezi kadhaa kile kidume cha mwanzo kilijitokeza na kurudisha mahusiano na yule binti huku rafik yangu aliekuwa ameanza kuzama ktk mapenzi ya yule binti akibaki na machungu telee..
sasa sijui tatizo nn? Mpaka watu tunakuwa hatuna standin.....!!!!!!