Mawazo ya kijuha kabisa haya. Nani aingie vitani? Kama mnajidanganya kuwa kwa kutoboa watu macho kwa bisibisi ndo vita, hakika mnajidanganya
Mawazo ya kijuha kabisa haya. Nani aingie vitani? Kama mnajidanganya kuwa kwa kutoboa watu macho kwa bisibisi ndo vita, hakika mnajidanganya
Mawazo ya kijuha kabisa haya. Nani aingie vitani? Kama mnajidanganya kuwa kwa kutoboa watu macho kwa bisibisi ndo vita, hakika mnajidanganya
tujue kuwa maeneo vita ilikotokea sababu hazikuwa kubwa wakati mwingine ni hata zilizodharaulika sasa serikali yetu acheni kurushiana mpira washughulikieni tuepuke vita.
chadema wanasisitiza ktk mikutani yao kuwa watekaji na watesaji wafhukuliwe hatua sasa kweli kama mhalifu anaomba achukuliwe hatua serikali inaogopa nini?
Na ikichukua hatua bado mtaendelea kulalamika na kujambajamba tu. si umeona jinsi mlivyoishambulia kuhusu operesheni tokomeza? Wengi waliopiga kelele hawakuchukia yaliyotokea wakati wa operesheni hiyo bali walikuwa hawaitaki kabisaTatizo la watanzania hatukubali ukweli na uongo utatufikisha pabaya.so wewe hutaki serikali ichukue hatua!kila msema kweli ni chadema!akili mbovu!
si watasaidiwa na kagame,pia ujerumani.Mkuu, vita kati ya nani na nani? Kama CHADEMA mnajifariji kuwa mtapambana na serikali, huko ni kuwehuka. Tulimpiga Idd Amin Nyumbani kwake. Sitashindwa nyie mburulaz?
Kama akina Kasulumbai wametoboa mtu macho,kama akina Kilewo wamemwagia mtu tindikali kule Igunga, kama Mbowe alimuua chacha wangwe na nyie mnaonifanya mnauchungu sana baco mmekaa kimya!
Na ikichukua hatua bado mtaendelea kulalamika na kujambajamba tu. si umeona jinsi mlivyoishambulia kuhusu operesheni tokomeza? Wengi waliopiga kelele hawakuchukia yaliyotokea wakati wa operesheni hiyo bali walikuwa hawaitaki kabisa
Anayehusika na mauaji ya watu ni ccm na serikali yake, ukiwa mpinzani kwenye hii nchi, jambo la kwanza ni lazima uwe msafi, kwa sababu serikali ya ccm haiwezi kukuacha, itatumia mwanya huo kuwafutia usajili, kama CHADEMA chama cha wananchi, kingekuwa kinahusika na haya mambo machafu, nakuhakikishia, leo hii kisingekuwepo, wewe huoni walivyotengeneza kesi ya ugaidi ya Lwakatale, lengo lilikuwa ni kutafuta njia ya kuifutia Chadema usajili, lakini walikwama, je! Kama kweli Chadema wanahusika, wangepona? Wanaohusika ni wakina Igondo Ramadhan usalama wa taifa pale ikulu, walitajwa na ----------- likangiwa, wengine ni Mwigulu Nchemba, Emmanuel Nchimbi, IGP mstaafu Said Mwema, Kamhando aliyemuua Mwangosi Iringa, rejea email zilizokamatwa baada ya kifo cha Dr Sengondo Mvungi, kati ya Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi, na Zitto akihusishwa kuiua Chadema.
Watatwangwa tu ikiwa watatuchokoza. Ile tabia ya kugeuzia shavu la upande wa pili unapopigwa tumeikataaa na mwenyekiti wetu ametuambia kabisaaaa tusiwe wanyongeKikwete amewahamasisha wanaCCM wote wajiandae kuwapiga wanachama wa vyama pinzani.
Ili iweje?Mwanamakambako natamani uanzishe uzi unaohusu hizo e mail kuhusu dr mvungi.
Watatwangwa tu ikiwa watatuchokoza. Ile tabia ya kugeuzia shavu la upande wa pili unapopigwa tumeikataaa na mwenyekiti wetu ametuambia kabisaaaa tusiwe wanyonge