Msikurupuke kununua ps4

Msikurupuke kununua ps4

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,377
Mnaotarajia kununua ps4 ila mna TV zile cable za rangi tatu msije mkaingia hasara bure due to lack of awareness

wswssw.png njn.png

Play station 4 saizi inatumia teknolojia ya h.d.m.i cable kuunganisha ps4 na tv display hii feature ya hdmi inabidi uwe na t.v za kisasa ambazo ni h.d, kama una t.v zile za kuconnect rca cables zile nyekundu,njano na nyeupe ps4 kwako itakuwa mzigo tu hata usifikirie kununua .

Alternative ipo kama unaweza kufanya manunuzi ebay kuna adapters zinaconvert hdmi kwenda rca connection,

ila bado utapata poor gaming quality.
 
Hiv kuna m2 anawez kununua bila kujua kweli,??
Kweli wa2 tunatofautiana,!!
 
What is the use of AV to HDMI cable? Usiwatishe watu bana. Converter ziko kibao
 
Mtu anayeingia dukani kununua ps4 anaelewa vizuri sana. hivi kuna mtu ana uwezo wa kununua ps4 akawa bado anatumia tv ya kizamani, kwa SD kweli atakuwa anaenjoy game gani? wapenzi wa gaming wote wanaelewa.

Pole kama ulikurupuka, watu wanazisoma consoles kabla hata hazijatoka.
 
Mbona mi nna ps3 na bado inatumia hdmi, hiyo kitu haijaanza kutumika kwa ps4.... na ata kama kuna ps3 hazina hdmi ni chache sana i guess.
 
Mnaotarajia kununua ps4 ila mna TV zile cable za rangi tatu msije mkaingia hasara bure due to lack of awareness

View attachment 226692View attachment 226693

Play station 4 saizi inatumia teknolojia ya h.d.m.i cable kuunganisha ps4 na tv display hii feature ya hdmi inabidi uwe na t.v za kisasa ambazo ni h.d, kama una t.v zile za kuconnect rca cables zile nyekundu,njano na nyeupe ps4 kwako itakuwa mzigo tu hata usifikirie kununua .

Alternative ipo kama unaweza kufanya manunuzi ebay kuna adapters zinaconvert hdmi kwenda rca connection,

ila bado utapata poor gaming quality.
c9d7e9941ba76b52e88596117bce212e.jpg

Hiyo port unayoona next to Rj 45 ni AUX port. Unaweza kuout put video. And yes watu wanaonunua wanafanya research kwanza
 
hiyo ps4 750000 kwenda mbele atashindwa kununua hata flat ya 300000
 
Back
Top Bottom