Msikilizeni Spika Wetu

voicer

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2020
Posts
5,545
Reaction score
11,943
Anaongea as if watanzania wote tu wajinga na tusioelewa kinachojiri!

Kwa mantiki hiyo....leo hakuna cha mjadala wala nini,bali ni Rubber Stamping tupu!

Wamekwisha amua...na ni kama vile mihimili miwili Serikali na bunge imeungana na kuwa mhimili mmoja!
 
Ccm Na Wabunge Wake Wanapitisha Yote Hakuna Kupinga
Tatizo Wanaogopa/Aibu Wanaiona Kusema Ni Mkataba Wa Muda Gani
 
Ccm Na Wabunge Wake Wanapitisha Yote Hakuna Kupinga
Tatizo Wanaogopa/Aibu Wanaiona Kusema Ni Mkataba Wa Muda Gani
Sasa hivi kila mwana CCM anayejitokeza kuongea anakimbilia kuhusu miaka Mia moja kwamba si kweli!

Cha ajabu hawaongei kusema ni miaka mingapi badala yake!
 
Sasa hivi kila mwana CCM anayejitokeza kuongea anakimbilia kuhusu miaka Mia moja kwamba si kweli!

Cha ajabu hawaongei kusema ni miaka mingapi badala yake!
Mie hata kumsikiliza naona aibu mie hata kumsikiliza
 
Siamini km huyu dada naye amekuwa fisadi anashirikiana kuiuza nchi yetu
 
Ujinga huu, huyu Tulia kibaraka wa Samia hawezi kufanya chochote kinyume na matakwa ya bosi wake.

Hili jambo ndio maana sitaki lipelekwe TAKUKURU, bungeni wala pengine popote, sisi watanzania wenyewe wenye uchungu na mali zetu ndio tuamue.

Hawa wanajiona wana mamlaka wanatudharau makusudi, sasa tuamue wenyewe, iwe kwa maandamano, migomo, au kwa sala popote tulipo kwa imani zetu kila mmoja, kuwaangamiza hawa wanyonyaji wanaotutawala.

Mungu wangu yupo hai, naamini atatenda, hatachelewa kuingilia kati hili jambo.
 
Wanajadili kitu gani sasa bungeni kama wanachokijadili hakuna vitu muhimu kama maslai na muda wa mkataba?
Alafu mbona hawasemi juu ya muda wa mkataba kama siyo miaka 100?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…