Msikilize huyu mchaga baada ya bili kumchanganya!!!!!

Msikilize huyu mchaga baada ya bili kumchanganya!!!!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
7,113
Reaction score
943
Mchaga mmoja alienda baa na marafiki zake kunywa pombe.
Baada ya kumaliza starehe zao bili ikaletwa ikionyesha kila mmoja kanywa kama ifuatavyo:
Manka sh35,000
Marieta sh20,000
George sh30,000
Kitambawazi sh15,000
Luka sh10,000
Total sh110,000
Mchaga akaicheki akasema,wote nitawalipia lakini huyo 'Total'simlipii,kwanza anamiliki sheli kibao za mafuta hapa bongo.
 
MCHAGA mmoja alienda na marafiki zake baa kunywa, baada ya kumaliza starehe bili ikaletwa ikionyesha kila mmoja kanywa vinywaji vya shilingi ngapi:

Manka sh35000
Marieta sh20000
George sh30000
Kitambwezi sh15000
luka sh10000
TOTAL sh110,000

mchaga akaicheki akasema "Wote nitawalipia lakini huyo "TOTAL" simlipii. Kwanza anamiliki sheli kibao za mafuta hapa bongo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom