Msigwa: Wawekezaji wasiitwe wezi, waliwekeza kisheria

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,569
9,430
Dodoma. Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa amesema haipendezi kuwaita wawekezaji wa madini wezi kwani waliwekeza kwa kufuata sheria na taratibu zote.

Amesema mara zote Rais wa CCM hukabidhiwa ilani ya chama ambayo ina sera kwa ajili ya utekelezaji wa masuala mbalimbali yakiwamo madini.

"Mtuambie (CCM) Sera yenu ya madini ni ipi?" amesema Msigwa.
 
Nyie chadema wananchi hawatawaelewa kwa sasa mnatakiwa tena msaidie katika kuhakikisha tunabadilisha sheria zetu za madini. Yaliyopita yamepita kama kweli nyie ni wazalendo wekezeni nguvu zenu katika kutatua tatizo hili. Vinginevyo matakuwa wapiga porojo tu na matadhoofisha chama chenu.

Kama wawekezaji kuna sehemu walikosea rekebisheni twende mbele. Mtaishiwa hoja na kubaki wapiga kelele tu. Ni ushauri tu.
 
Wazee wa kulaani Mwembeyanga na kubariki laana Bahari beach hotel!
 
Nyie chadema wananchi hawatawaelewa kwa sasa mnatakiwa tena msaidie katika kuhakikisha tunabadilisha sheria zetu za madini. Yaliyopita yamepita kama kweli nyie ni wazalendo wekezeni nguvu zenu katika kutatua tatizo hili. Vinginevyo matakuwa wapiga porojo tu na matadhoofisha chama chenu.

Kama wawekezaji kuna sehemu walikosea rekebisheni twende mbele. Mtaishiwa hoja na kubaki wapiga kelele tu. Ni ushauri tu.
Wawekezaji hawajawahi kukosea. Wao wanafanya kile ccm inawambia ila kwa sasa ccm imewageuka halafu inataka tuione ni mkombozi wa wananchi. Same ol'shit
 
CCM haiwezi kujiweka pembeni kwa aibu hii - Bado nasema Thanks kwa Rais Magufuli kujivua u-CCM na kuweka maslahi ya taifa mbele.

Kuna watu walizomewa Bungeni kwa kuidai mikataba hii ijadiliwe Bungeni, leo Rais kasema iende kujadiliwa sasa wamegeuka tena wanashangilia eti ijadiliwe - hawa ndiyo wabunge wetu watetezi wetu na maslahi ya taifa letu.
 
Wawekezaji hawajawahi kukosea. Wao wanafanya kile ccm inawambia ila kwa sasa ccm imewageuka halafu inataka tuione ni mkombozi wa wananchi. Same ol'shit

Hivi kipindi kile tulikuwa tunapiga kelele hili iweje? Si mikataba ibadilishwe? Au wengine ilikuwa ajenda tu ya kisiasa? Ningelikuwa mimi na kama hii ni agenda ya kisiasa ningeenda kwa wananchi kuwaambia kuwa kama si mimi hili lisingefanyika, kuliko kuendelea kupinga kitu ambacho kimefanyiwa kazi. Mbona agenda bado ni nyingi? Hii wapinzani tuachane nayo tukamate nyingine. Mimi nafikiri upinzani ni kupiga kelele hili jambo lifanyiwe kazi. Hapa ndipo namkumbuka DR Slaa. Alikuwa anajua kusoma upepo. Hili la madini sijui gesi limeisha pata mharobaini. Kilicho bakia ni kukamata mapapa.
 
Nyie chadema wananchi hawatawaelewa kwa sasa mnatakiwa tena msaidie katika kuhakikisha tunabadilisha sheria zetu za madini. Yaliyopita yamepita kama kweli nyie ni wazalendo wekezeni nguvu zenu katika kutatua tatizo hili. Vinginevyo matakuwa wapiga porojo tu na matadhoofisha chama chenu.

Kama wawekezaji kuna sehemu walikosea rekebisheni twende mbele. Mtaishiwa hoja na kubaki wapiga kelele tu. Ni ushauri tu.
Yaani sheria wapitishe wenyewe eti leo niungane nao kwenye hili...I am not a fool to that extent. Mmsigwa, Lissu and Mbowe go on. Wenye akili tunawaelewa
 
Nyie chadema wananchi hawatawaelewa kwa sasa mnatakiwa tena msaidie katika kuhakikisha tunabadilisha sheria zetu za madini. Yaliyopita yamepita kama kweli nyie ni wazalendo wekezeni nguvu zenu katika kutatua tatizo hili. Vinginevyo matakuwa wapiga porojo tu na matadhoofisha chama chenu.

Kama wawekezaji kuna sehemu walikosea rekebisheni twende mbele. Mtaishiwa hoja na kubaki wapiga kelele tu. Ni ushauri tu.
Mawaziri tangu rupate uhuru wanatoka chama gani?je mabunge yote yaliyopita ,idadi ya wabunge wa upinzani ,inalingana na wanbunge wa ccm?sasa kwenye kutunga sheria,ni wabunge wa chadema ndo wanaopeleka miswaada na sheria bungeni?na vipi lwenye kupiga kura ni idadi ipi inagicu ya kupitisha miswaada wabubge wa ccm au wa chadema?sasa wabunge wa chadema kwenye kurekebisha wanahusika vipi,wao ndo wanapeleka miswaanda ya marekebisho bungeni?na je hata chadema wakapiga mapendekezo, kura yao inasaidia kupitisha muswaada? Sasa ukipata majivu chukua hatua
 
Dodoma. Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa amesema haipendezi kuwaita wawekezaji wa madini wezi kwani waliwekeza kwa kufuata sheria na taratibu zote.

Amesema mara zote Rais wa CCM hukabidhiwa ilani ya chama ambayo ina sera kwa ajili ya utekelezaji wa masuala mbalimbali yakiwamo madini.

"Mtuambie (CCM) Sera yenu ya madini ni ipi?" amesema Msigwa.
Ni kweli wameekeza kisheria amna aliyekataa lakin hata mrahabaa wa 4% ambayo ipo kisheria bado hailipwi
 
Narudia, Mwaka 2019 na 2020., CCM itapata kura milion 17 za urais na idadi kubwa ya wawakikilishi kianzia serikali za mitaani, udiwani, na ubunge. Inatarajiwa watanzania milioni 25 kujiandikisha.kumbuka siyo wote million 25 watapiga kura. Hivyo jiongeze washindani wa CCM watavuna nini?
 
CCM itubu hadharani..

Wao ndio wameingiza Nchi into this mess..

Sio kuja hapa na insulation kwa haya makampuni wakati mliwabariki ninyi wenyewe wakati CHADEMA ikiwapa tahadhari zote.

Safi Msigwa.
 
Nyie chadema wananchi hawatawaelewa kwa sasa mnatakiwa tena msaidie katika kuhakikisha tunabadilisha sheria zetu za madini. Yaliyopita yamepita kama kweli nyie ni wazalendo wekezeni nguvu zenu katika kutatua tatizo hili. Vinginevyo matakuwa wapiga porojo tu na matadhoofisha chama chenu.

Kama wawekezaji kuna sehemu walikosea rekebisheni twende mbele. Mtaishiwa hoja na kubaki wapiga kelele tu. Ni ushauri tu.

OK SIO WEZI NI VIBAKA
 
ACACIA ni wezi tu. Mbeleko ya wanaCCM haiwafutii kosa lao la wizi. Msigwa na wenzie kwa sasa wangeacha politiki kidogo na kusaidia mawazo ili Nchi isonge kule kila mtu angependa ifike.
 
Mawaziri tangu rupate uhuru wanatoka chama gani?je mabunge yote yaliyopita ,idadi ya wabunge wa upinzani ,inalingana na wanbunge wa ccm?sasa kwenye kutunga sheria,ni wabunge wa chadema ndo wanaopeleka miswaada na sheria bungeni?na vipi lwenye kupiga kura ni idadi ipi inagicu ya kupitisha miswaada wabubge wa ccm au wa chadema?sasa wabunge wa chadema kwenye kurekebisha wanahusika vipi,wao ndo wanapeleka miswaanda ya marekebisho bungeni?na je hata chadema wakapiga mapendekezo, kura yao inasaidia kupitisha muswaada? Sasa ukipata majivu chukua hatua

Sasa wenzenu wanapiga bao. Ningelikuwa mimi ningelijipa muda niangalie kama watafanikiwa kuliko kuonekana unasaidia mwekezaji. Huyu jamaa akishindwa na mwekezaji atasema mnaona? Je tunaonaje chadema kuwawekee hawa accacia mwanasheria? Tuweke tena akina Tundu Lissu hili washinde kesi hii. Ikiwezekana hata tafuteni wazungu waje wasaidie.
 
Back
Top Bottom