Msigwa simama imara!
Ingawa mjadala wa Kesi ya Kinana na Msigwa hapa JF ni contempt of court....niseme haya
1. Kwamba uzi wowote unaozusha mjadala huu unaweza kuwa 'dry run' kutafuta mawazo ya kumtoa mtu kwenye utata; yaani ni kumsaidia kinana kutoka kwenye kibano. Uzi unaweza kuanza kama "dry run." kutafuta njia za kukwepa tatizo. wanakusanya mawazo.... Msigwa usiteteleke....
2. As far as I am concerned, zipo adhabu kwa mtu au taasisi yoyote ambayo inatumiwa kama "accessory" katika kutenda kosa. Kosa limefanyika. Pembe haramu zimepatikana. Kwa hiyo kama Kinana ni mmiliki Mkuu wa kampuni iliyotenda kosa hilo la jinai, yeye ni accessory katika jinai hiyo. ana kesi ya kujibu.
Msigwa simama imara!
Mabasi ya Mtei yanabeba majambazi kutoka Arusha kuja Dar Es Salaam kufanya ujambazi.
Wabeba "unga" kila siku wanasafiri kwa ndege za mashirika mbalimbali.
Tunaelewa kwamba mtu akipenda, chongo huita kengeza lakini wakati mwingine kabla hujatuletea thread yako hapa jamvini ukae chini ufikirie kwanza na uweke mapenzi pembeni.
Maelezo mengi lakini ukiyasoma hayana logic yoyote ya maana achilia mbali national and international legal ground such as Marine and shipping law. Are you bavicha?.
Unapoanza kuongelea kesi ni lazima argument zako ziambate na vifungu vya sheria kinyume cha hivyo ni kuendeleza longo longo za kibavicha.
Sheria hazina siasa.
Bavicha ni janga la Taifa, tuipige vita kama ukoma.
ww ni kilaza kweli hata hufatilii wala kusoma mambo yanayotokea..kinana hana kampuni ya kusafirisha mizigo, ni wakala wa clearing and forwading ..hana mamlaka ya kilichomo ndani ya meli..ni sawa na mpiga debe pale stand. Msigwa lazima ashikwe pabaya
Maskini hafilisiki,mafisadi ndiyo watakaofilisiwa.Billicanas kuna wauza unga tunawajua kwa majina. Je, hiyo inamfanya Mbowe awe accessory wa drugs pale club billicanas?
Uwe una jaribu kufikiri kwa mapana na marefu, sio tu unaleta ushabiki wako wa uchadema maana hauna tija yoyote, wewehumo humu unasema Msigwa simama imara, mwenzako yuko kikaangoni akisubiri kufilisiwa kwa hatia ya defamation.
Huwa naona magari yanayokamatwa yakisafirisha bangi yanashikiliwa kwa kuhusianishwa na kosa hilo.Mimi si mwanasheria,hivi sheria inasemaje kuhusu hili?Pia kuhusu samaki wa magufuli ni kwa nini walitaifisha meli?Wanasheria tusaidieniMabasi ya Mtei yanabeba majambazi kutoka Arusha kuja Dar Es Salaam kufanya ujambazi.
Wabeba "unga" kila siku wanasafiri kwa ndege za mashirika mbalimbali.
Tunaelewa kwamba mtu akipenda, chongo huita kengeza lakini wakati mwingine kabla hujatuletea thread yako hapa jamvini ukae chini ufikirie kwanza na uweke mapenzi pembeni.
Sheria haitamwacha Kinanda ooh! samahani kumbe ni Kinana,huyu ni jangili namba 1 anajaribu kujikosha mahakamani hajui mahakama za sasa sio xile za kuchakachua! Za kipindi kile cha kidumu chama cha matahira!
Huwa naona magari yanayokamatwa yakisafirisha bangi yanashikiliwa kwa kuhusianishwa na kosa hilo.Mimi si mwanasheria,hivi sheria inasemaje kuhusu hili?Pia kuhusu samaki wa magufuli ni kwa nini walitaifisha meli?Wanasheria tusaidieni
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Billicanas kuna wauza unga tunawajua kwa majina. Je, hiyo inamfanya Mbowe awe accessory wa drugs pale club billicanas?
Uwe una jaribu kufikiri kwa mapana na marefu, sio tu unaleta ushabiki wako wa uchadema maana hauna tija yoyote, wewehumo humu unasema Msigwa simama imara, mwenzako yuko kikaangoni akisubiri kufilisiwa kwa hatia ya defamation.
msigwa , dr slaa, heche wakikuchukia kama mwanaccm wanakuchukia kweli kama lemamsigwa simama imara!
Ingawa mjadala wa kesi ya kinana na msigwa hapa jf ni contempt of court....niseme haya
1. Kwamba uzi wowote unaozusha mjadala huu unaweza kuwa 'dry run' kutafuta mawazo ya kumtoa mtu kwenye utata; yaani ni kumsaidia kinana kutoka kwenye kibano. Uzi unaweza kuanza kama "dry run." kutafuta njia za kukwepa tatizo. Wanakusanya mawazo.... Msigwa usiteteleke....
2. As far as i am concerned, zipo adhabu kwa mtu au taasisi yoyote ambayo inatumiwa kama "accessory" katika kutenda kosa. Kosa limefanyika. Pembe haramu zimepatikana. Kwa hiyo kama kinana ni mmiliki mkuu wa kampuni iliyotenda kosa hilo la jinai, yeye ni accessory katika jinai hiyo. Ana kesi ya kujibu.
Msigwa simama imara!
msigwa , dr slaa, heche wakikuchukia kama mwanaccm wanakuchukia kweli kama
lema
Kwenye maeneo mengi ya starehe kuna wauza unga, siyo club bilcanas peke yake; kote huko proprietors wanawajua wateja wao na biashara wanazofanya? Huwezi kumlinganisha Mbowe na Kinana katika hili suala.Billicanas kuna wauza unga tunawajua kwa majina. Je, hiyo inamfanya Mbowe awe accessory wa drugs pale club billicanas?
Uwe una jaribu kufikiri kwa mapana na marefu, sio tu unaleta ushabiki wako wa uchadema maana hauna tija yoyote, wewehumo humu unasema Msigwa simama imara, mwenzako yuko kikaangoni akisubiri kufilisiwa kwa hatia ya defamation.
msigwa , dr slaa, heche wakikuchukia kama mwanaccm wanakuchukia kweli kama lema
msigwa failed on the pulpit he will also fail kizimbani. we all know that one is innocent untill proven guilty in a law of court. How could a politician, who has a learned and religious back ground like Msigwa endulge himself in the politics of heresy. yeye si ndiye aliyekuwa akiwaonya watu kanisani wasiseme uongo, uchochezi na kuleta mambo ya fitini na ni dhambi. Jamaani mbona Chadema ina viongozi wakidi waliongia kwemye siasa na ni waongo, wanafiki na wengine wazinifu, hili sio jambo la kushangaza...
we ni kuku kweli kweli hao wauza unga wana hisa hapo Bills ? tumia akili jangili lenu lina hisa kwenye hiyo kampuni ya kusafirisha meno hachomoki kwenye hiyo kashfBillicanas kuna wauza unga tunawajua kwa majina. Je, hiyo inamfanya Mbowe awe accessory wa drugs pale club billicanas?
Uwe una jaribu kufikiri kwa mapana na marefu, sio tu unaleta ushabiki wako wa uchadema maana hauna tija yoyote, wewehumo humu unasema Msigwa simama imara, mwenzako yuko kikaangoni akisubiri kufilisiwa kwa hatia ya defamation.
Chadema mnapenda sifa za kijinga sana nyie hii kesi lazima iwafirigise nyuma,hakuna mtu atakayethibitisha uongo wa Mchungaji wa nguruwe