Msigwa: Serikali inatuwinda kutuua akiwemo Lema, Mbowe & Mdee. Wote tunafuatiliwa na Serikali ya kidikteta

Familia ya Lissu ipo kwenye wakati mgumu sana. Hawa mazuzu wamekwenda Nairobi kwa mambo yao binafsi, hawajakwenda kumtibu mgonjwa.
 
Serikali ingewafukuza tu hao akina pastor na mdee wake waishi uko huko Kenya wanakoropokea.

Mfano, mdee alichoandika kwenye Twitter na picha akaweka akija anatakiwa aishie jela.
Ukicheka na nyani utavuna mabua.

Kama kule mbeya, wamecheka na nyani wamefikia hatua ya kuchukua chakula na sufulia kwenda kulia porini.
 
Msigwa kayasema hayo akiwa Nairobi na kuishutumu serikali kuwa ndio chanzo cha mauwaji hasa ya wanasiasa wa upinzani.



Asema spika kaungana na serikali kifanya maamuzi inayotaka serikali na kuahindwa kusimama kama bunge la kusimamia serikali.
Halafu hapo atakuambia ndio tayari ameripoti tuhuma zake polisi. Huyu jamaa bure kabisa.
 
Tanzania kwisha habari yake , Wazee wote wanaangalia tu nchi ikitokomea kwa vile watoto wao wameteuliwa , lakini pia ni vema wakajua hawako salama .
 
Kuna watu wameingia kwenye ulingo wa uongozi kisiasa kibahati bahati na ninaweza kusema imekuwa ni bahati mbaya sana, Serikali ina shida gani na watu kama nyinyi? Acheni kutafuta umaarufu kirahisi rahisi.... Siasa za kubahatisha bahatisha ni tatizo sana, Umeenda kutafuta maisha kama mchungaji bahati ikakuangukia na kuwa mbunge, umeacha uchungaji sasa umekuwa mbunge mchungaji mchonganishi..... Njaa mbaya sana
 
Back
Top Bottom