Msigwa kwanini msiwashtaki kwa "sedition na defamation"

Msigwa kwanini msiwashtaki kwa "sedition na defamation"

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,939
Reaction score
10,823
Msigwa analalamika

Tanzania ni nchi kile ni chombo Cha habari

Kama Trump pérsonali anaweza washitaki, sisi kama nchi kupitia wanasheria wetu tunafeli wapi kuwashitaki CNN dhidi ya kesi ya uchochezi? Au uzalilishwaji?
 
Msigwa analalamika
Tanzania ni nchi kile ni chombo Cha habari
Kama Trump pérsonali anaweza washitaki, sisi kama nchi kupitia wanasheria wetu tunafeli wapi kuwashiraki ccn dhidi ya kesi ya uchochezi? Au uzalilishwaji?
Hahaha… Msingi wa madai yetu nini? Publication of “bad taste images” kama anavyodai Msigwa?
 
Msigwa analalamika

Tanzania ni nchi kile ni chombo Cha habari

Kama Trump pérsonali anaweza washitaki, sisi kama nchi kupitia wanasheria wetu tunafeli wapi kuwashiraki CNN dhidi ya kesi ya uchochezi? Au uzalilishwaji?
Oya emu lala km hujakojoa kojoa ulale acha kuongea ujinga wa Gerson Msigwa, as a matter of fact jamaa anaongea as if anaongea kwenye kikao cha family, wakati anaongea na dunia. Wapi alipoweka international journalist kwenye ile press yake akamgonga maswali? Kaitisha presenters machawa waje kumgonga reading questions then anaongea nini? Kwenye ile press ulimuona hata mwandishi mmoja wa kimataifa akifuatilia na kumgonga maswali ya ugoko? Km hayupo yeye alichofanya ana tofauti gani na CNN? Stupid, Mods mnisamehe najua mnakuja sana PM kunituliza ila inabidi niseme
 
Hawana uwezo uo
Kwa kipi anachoweza kufanya yeye alimuita hata mwandishi mmoja wa nje kwenye ile press yake? Aliwashirikisha kwenye ile press yake? Anawatajataja kwenye press huku anawakaripia eti natural justice mo'faka natural justice na huku umeua and then you come up with stupid defence of natural justice? Kakomalia sheria sheria hana hata cheti cha sheria, next time tell him on his press asiongee kuhusu sheria maana hana anachojua kuhusu sheria so stop talking about laws, hajui sheria
 
Msigwa ni mpumbavu sana
 
Kama mawakili wa serikali hawajui tofauti ya video na picha wataweza kusimamia kesi kwenye mahakama za kimataifa?
 
Kama mawakili wa serikali hawajui tofauti ya video na picha wataweza kusimamia kesi kwenye mahakama za kimataifa?
Next time akiongea mkumbusheni asiongee ongee kuhusu sheria, yeye apige tu domo ila sheria hajui kwa hio asiguse kabisa mambo ya kisheria.. kaongea kidogo analeta utani wa kingese eti kwa kikinga mo'faka kingereza toka lini kikawa kikinga was that a serious press or was that a comedy show?
 
Mimi naona serikali kwasasa inaachia series za bongo movie tatizo bongo movie ilikufa zamani sana
 
Mimi naona serikali kwasasa inaachia series za bongo movie tatizo bongo movie ilikufa zamani sana
Jamaa next time mwambieni akiandaa press awe amejiandaa hata km unapigwa reading questions huwezi ukawa unakwepa kujibu maswali.. anaulizwa kwa wale wahanga wa zile vurugu waliopoteza ndugu zao na waliopoteza mali zao unawasaidiaje kwa kipindi hiki serikali ina nini cha kuwasaidia... eti anajibu ...hilo swali siwezi kulitolewa majibu tusubiri tume ya uchunguzi imalize kwanza kazi yake itakuja na majibu... wewe mjinga sasa km huwezi kujibu maswali km hayo hata tu kwa tathmini ya nini kitafanyika uliitisha press ya nini mjinga wewe? Uliitisha press ya nini na huku kuna maswali unajua ukiulizwa unashindwa kuyajibu?
 
CNN walikua wanatumia net ya Elon Nchi nyingi walikua wanaona live kutoka Kimara hakuna kitu walificha mpaka picha za wazee wanazo hata wanavyosema kuhusu kondo CNN ushahidi wanao ngoja tuendelee kuangalia hii movie soon Sterling atatoa tamko tena..
 
Wakishtakiwa utakuja tena kuuliza kwanini mmewashtaki.
 
Back
Top Bottom