Kama hujui kusoma takwimu hujui tu najua vilaza wengi kama mtoa mada mambo ya pie chart uliyakimbia shuleni leo unataka kujifanya unajua:kikwete ni mchumi msigwa mchungaji tana wa o level.mchungaji na pie chart wapi na wapi mambo ya takwimu tuachie sisi yeye aendelee kakalili vifungu vya bible

tulia we takataka!msigwa hii ripoti yake feki ameitoa wapi?
nani mwenye usongo kati yake nawe AJUZA????pole kwa kufia na mumeo,nakushauri tafuta kijana age around 35yrs akupunguzie raha za duniaMleta mada hata hujui unachokiongelea. Usongo tu.
Hivi ni kwanini linaloonekana (kwa macho ya CCM) kwamba lilichangiwa na wananchi wachache "sana" ni suala la muungano tu? Rasimu yote ni ya wananchi na kitakwimu asilimia kubwa ya mambo yaliyomo kwenye rasimu yamechangiwa na wananchi wachache kuliko suala la muungano.
Kama uchache unaosemwa na CCM ni kigezo, haina maana ya Bunge Maalumu kuendelea kujadili rasimu kutokana na uchache wa wachangiaji kulinganisha na idadi ya waTanzania. Bunge livunjwe, mchakato uanze upya na waTanzania wote wahojiwe ili kukamilisha akidi inayotakiwa na CCM. Hawa majamaa ni mabingwa sana wa kuji-contradict lakini "ulimi wa uongo ni wa kitambo tu".
Huduma za jamii is less important than MUUNGANO as per chart??so no need improvement in Huduma za jamii as jk said?????kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Kama hujui kusoma takwimu hujui tu najua vilaza wengi kama mtoa mada mambo ya pie chart uliyakimbia shuleni leo unataka kujifanya unajua:kikwete ni mchumi msigwa mchungaji tana wa o level.mchungaji na pie chart wapi na wapi mambo ya takwimu tuachie sisi yeye aendelee kakalili vifungu vya bible
Na wewe kwa akili yako hv wananchi ambao waliidai katiba leo wachangie kwa kiasi kidogo mambo yanayowahusu .
Si vibaya msigwa kujipa matumaini kabla hawajapigwa goli lingine la kiustadi.