Msigwa angejua uhusiano wa Samia na Mbowe angepunguza hicho kimbelembele..
Hajaijua CCM vizur... na hii platform wanampa kumtumia, asipowawahi asubir kurud tena CDM kumuomba Mbowe msamaha..
Ugomvi wake na Mbowe unamuhusisha mwenyekit wa Chama chake kipya kwa kusema Mbowe nafanya biashara na CCM kupitia mwenyekiti wa CCM, (audio ya wasup group)
Awe tu makini, at 60 hana kipya sana cha kufanya CCM... Muda utasema