Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
NakaziaMungu mbariki mtumishi wako Msigwa
Chadema bhana...... sasa yeye " kama " mbunge amefanya nini zaidi ya kulalamika!Mbunge wa Iringa Mjini kupitia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA, Mch Peter Msigwa amesema Serikali imekuwa ikifanya mipango ambayo haipo katika mpango wa miaka mitano ambayo imekuwa ikiligharimu Taifa. Msigwa amewasha moto huo wakati akichangia katika wizara ya fedha na mipango.
Msigwa ni shujaaHizi nondo ni balaa!!
Madokta na maprofesa wengi wa kibongo ni useless kabisa!!