Ndugu zanguni,
Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.
Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.
Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.
Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?
Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?
Aliteuliwa na nani?
Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze
JITAMBUE!
ha ha! ngoja waje...!
Nadhani wewe unahaki 100% kwenda Milembe kupimwa, What you have posted mean zero to your time spent!.Ndugu zanguni,
Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.
Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.
Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.
Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?
Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?
Aliteuliwa na nani?
Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze
JITAMBUE!
ndugu zanguni,
kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la msigwa sio geni masikioni mwenu.
Mimi binafsi namfahamu msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.
Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.
Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?
Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?
Aliteuliwa na nani?
Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze
jitambue!
Niliishaweka wazi hapa kuwa nitakwenda kumuondoa Msigwa 2015 sasa sijui unauliza niniSubiri 2015 mkapimane Jimboni au utaenda kwa dhaifu Mgimwa Kalenga?
Unamfananisha Yesu na Kamanda Msigwa?
Kumbe Frema ndio wewe..
Ok hiyo degree ilikuwa ya nini? tunaomba utuwekee bayana hapa
Niliishaweka wazi hapa kuwa nitakwenda kumuondoa Msigwa 2015 sasa sijui unauliza nini
Ndugu zanguni,
Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.
Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.
Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.
Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?
Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?
Aliteuliwa na nani?
Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze
JITAMBUE!
Niliishaweka wazi hapa kuwa nitakwenda kumuondoa Msigwa 2015 sasa sijui unauliza nini
Kwa
hiyo kila anaesomea mambo ya dini automatic anakuwa mchungaji?
Hebu tuwe wakweli hapa. unataka kutuambia wanafunzi wote waliopita seminari ni mapadre?
Uchungaji wa Msigwa ni wa kujibambikiza tu, sijawahi kuona mchungaji akichochea vurugu siku ya kumuabudu Mungu
Nakumbuka jumapili moja mchungaji alikacha kwenda kanisani akaenda pale barabara mbili kuchochea vurugu kwa wamachinga,. matokeo yake polisi wakapiga mbata kichogo na kumsweka rumande
Ndugu zanguni,
Kwa wale mnaojua siasa za siku hizi nadhani jina la Msigwa sio geni masikioni mwenu.
Mimi binafsi namfahamu Msigwa toka enzi zile alipoikuwa akipiga shoe shine pale kihesa, then akafungua kiduka/kioski cha kuuza chumvi mafuta ya taa nk pale kihesa.
Mambo yalipozidi kuwa magumu ghafla nikasikia Msigwa kawa mchungaji na leo mbunge.
Najua ubunge aliupata baada ya wananchi wa Iringa kuamua kuchagua jiwe kwa hasira ya kukataliwa mtu wao, lakini hili suala la uchungaji lilikujaje?
Msigwa alisomea wapi huu uchungaji?
Aliteuliwa na nani?
Naomba wale wanaomfahamu vyema mchungaji wetu wanijuze
JITAMBUE!
jibu na wewe hii kazi ya kuchungulia mizigo ya watu uliisomea wapinawe weka elimu yako ya shunguli hii uliipata wapi?
jibu swali kwanza YESU alisomea wapi uchungaji?Unamfananisha Yesu na Kamanda Msigwa?
Astaghafiruallah! unawafananisha hawa Watukufu na huyu muhuni ama kweli "kukishangaa ya Mussa utayaona ya Firauni" kafanye toba haraka kabla ya jua halijazama.Jiulize Yesu na Mohamed walisomea wapi ulimu.