Sijui niseme ni udhaifu wa kuongea au ni nini?
Yaani imefikia hatua mpaka mtu anatafuta sifa za msichana wa kumuoa, tunaelekea wapi sasa?
Sifa za mtu wa kumuoa hazitafutwi bhana, kila mmoja anazo sifa zake.
Usitake kuishi kama mwingine aishivyo, ishi wewe kama wewe.