MeNaco.com
Member
- Sep 1, 2011
- 94
- 4
Katika hali ya kawaida kibinadamu, ni kazi sana kupata msichana wa ukweli wa kumweka ndani awe mama watoto wako. Sasa naomba tusaidiane sifa za msichana anayefaa kuoa, na yupi hafai?
Sokoni uende wewe, vya kununua tuchague sisi
Mhhhh una mipasho balaa
kwa sasa hamna anaefaa kaka...
Umemjibu vyema.Msichana anayekufaa unamfahamu wewe mwenyewe, ukitaka tukuambie sisi kila mtu atakuwambia kulingana na mapenzi ama matakwa yake na mwisho wa siku utapotea kabisa. Ni wewe ndo unajua utaka mwanamke wa namna gani, kwa vigezo ulivyojiwekea wewe mwenyewe.
Miluzi mingi humpoteza mbwa.
Hujakutana nano pia unaokutana nao ni wakugegedana tu ukikutana nao we mwenyewe utatualika harusi
Kama upo dzm nenda Kimboka bar Buguruni