Habari zenu wananchi wenzangu..ebana leo asubuh nilipokea cmu toka kwa msichana mmoja ambae anasoma chuo flani maarufu kilichopo mitaa ya posta hapa jijin Dsm,mdada alinitaka nionane nae coz ana shida ya muhimu sana,wel kwa sababu ni mtu tunafahamiana,me nkaenda kumsikilza,cha kusikitisha mdada akanambia ana matatzo makubwa,kwanza akaanza kutoa machozi,nikadhan maybe kuna msiba,bt akanambia kuna jamaa wa hapo hapo chuon kwao kampga mimba afu mshkaji kamruka hataki hata kumuona tena,sasa dada watu anadai anataka kuitoa bt hana hata shilingi so eti me ndo nimsaidie pesa akaichomoe hyo mimba..kwanza nimeogopa kushirikishwa kwenye mpango ka huo as cjawah hata kufkiria kufanya hvo,nlichofanya me nimemchana live kwamba cwezi kuua,nimemwachia shiling elfu 20 za kula as alnambia kafulia mbaya.sasa wakuu,hapo ntakua nimefanya jambo la maana au nimekosea.
Hakuna kitu kibaya kama kuwa third party kwenye utoaji wa mimba
reconsiliation ya nafsi ya mtoto aliyetolewa na wewe is complicated
and ur consience will never let you free
mpe ushauri wa kuzaa
kama atafanya maamuzi mengine aku-count out
iwe at her own risk
ni bora kum-betray yeye kuliko kuKbetray nafsi yake
ni mtu mzima alifanya akijua athari zake
lazima awe responsible kwa action zake.
Umekosea kumchana, yeye kaja kwako kakuamini afu unamchana si vema. Ulichotakiwa kukifanya kama ulivyosema huwezi kuua kweli kuua ni dhambi na kwetu sisi wakatoliki tunasema ni dhambi ya mauti ambayo tumeaminishwa kuwa haisameheki. Ulichotakiwa kukifanya ni kumshauri amwache mtoto akue na amtunze kwa ujumla ilibiidi ufanye cancelling hata kama hujasomea ila ni kumwambia maneno ya busara yatakayomfariji aondokane na dhana hiyo. Nafikiri hii ndo njia pekee ya kumshauri mtu aliyepoteza matumaini.
sasa wanaotoa mimba ni kina nani?
mbona kila mtu anajifanya kupinga na kuponda??
sipendi utoaji mimba lakini nawahashimu mno
wanaodai 'haki ya kutoa mimba'
angalau wao wako wazi na wanachokiamini...
anadai mzee wake akijua kuwa ana mimba,atamchnja..hayo amenambia baada ya mim kumshawish kutofanya hvo anavofkria kufanya.
Habari zenu wananchi wenzangu..ebana leo asubuh nilipokea cmu toka kwa msichana mmoja ambae anasoma chuo flani maarufu kilichopo mitaa ya posta hapa jijin Dsm,mdada alinitaka nionane nae coz ana shida ya muhimu sana,wel kwa sababu ni mtu tunafahamiana,me nkaenda kumsikilza,cha kusikitisha mdada akanambia ana matatzo makubwa,kwanza akaanza kutoa machozi,nikadhan maybe kuna msiba,bt akanambia kuna jamaa wa hapo hapo chuon kwao kampga mimba afu mshkaji kamruka hataki hata kumuona tena,sasa dada wa watu anadai anataka kuitoa bt hana hata shilingi so eti me ndo nimsaidie pesa akaichomoe hyo mimba..kwanza nimeogopa kushirikishwa kwenye mpango ka huo as cjawah hata kufkiria kufanya hvo,nlichofanya me nimemchana live kwamba cwezi kuua,nimemwachia shiling elfu 20 za kula as alnambia kafulia mbaya.sasa wakuu,hapo ntakua nimefanya jambo la maana au nimekosea?
Nachukia watu wanaofanya hii style ya mauaji, basi tu!!! Asavali hata umenyima!