Picha ya passport size au ya mwili mzima, kama ni ya mwili mzima hiyo kazi unayotangaza ni ya M-PESA kweli au kuna zaidi?Karibu ufanye kazi kwenye duka la wakala.
Elimu si chini ya form IV na uwe unaishi Dar es Salaam, Ubungo. Masaa ya kazi: saa 12 asubuhi hadi saa 4 usiku.
Mshahara utategemeana na sifa za mwombaji, na si zaidi ya laki moja. Karibu PM, taja sifa zako, mahali ulipo, picha moja na weka mawasiliano yako.
Hakuna interview. Only successful candidate will be contacted.
kwa muda huo wa kazi! mh, dada wa watu atalala mithili ya gogoIwe passport iwe wall paper sawa tu, ili mradi muombaji aonekane.
kwani atakuwa analima aukwa muda huo wa kazi! mh, dada wa watu atalala mithili ya gogo
Naelewa sana mkuu,mambo now yako tight sanaHali ngumu kwa waajjri na waajiriwa
LaZima apigweYani anafanya muamala laini mishahara hauzudi laki?
Karibu ufanye kazi kwenye duka la wakala.
Elimu si chini ya form IV na uwe unaishi Dar es Salaam, Ubungo. Masaa ya kazi: saa 12 asubuhi hadi saa 4 usiku.
Mshahara utategemeana na sifa za mwombaji, na si zaidi ya laki moja. Karibu PM, taja sifa zako, mahali ulipo, picha moja na weka mawasiliano yako.
Hakuna interview. Only successful candidate will be contacted.
Lazima awe msichana?Karibu ufanye kazi kwenye duka la wakala.