Msichana wa kula nae vyombo a.k.a gambe anahitajika, Mimi nipo dar..
Ni PM kama upo interested..
Nshakupm
Msada tutani gambe ndo nini?
Ni kishkwambi flani hivi
Duh bado hata hilo silijui kama kuna neno lingine
Duh bado hata hilo silijui kama kuna neno lingine
Hujaweka sifa awe na uwezo wa kula vya plastic au udongo plz nakushauri ufafanue
Usijali mkuu
Mbona unajiquote? ushapiga vishkwambi nenee?
Nshakupm
mmmh si mswalihina wewe
Duh aisee sijaona kaaazi kwelikweli
Eeeh bibi mbona hivo...tusiharibiane..
mwaka mpya umechange?