Msichana wa kazi Maxmalipo Service

Msichana wa kazi Maxmalipo Service

burtons

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2009
Posts
280
Reaction score
86
Naitaji msichana wa kazi katika office yangu iliyopo mabibo hostel, mshahara ni kuanzia tsh 100,000/= Awe anakaa tabata kisukuru external.
 
naitaji msichana wa kazi katika office yangu iliyopo mabibo hostel
mshahara ni kuanzia tsh 100,000/= awe anakaa tabata kisukuru external

Mie nipo tayar na naish river side vip nitapata? Pia nitapewa training namna ya kuitumia hiyo mashine? Coz sina experiance ya kutumia hiyo machine.
 
Mie nipo tayar na naish river side vip nitapata? Pia nitapewa training namna ya kuitumia hiyo mashine? Coz sina experiance ya kutumia hiyo machine.

Kisukuru-external....river side....mhhh ulishapata kazi...
 
Back
Top Bottom