Msichana wa kazi anahitajika

Msichana wa kazi anahitajika

iddhassan

Senior Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
100
Reaction score
134
Anahitajika msichana wa kazi..kuhudumia familia ya watu wa tatu.baba.mama mtoto.kuishi kwa tajiri.kazi kupika.kufua na kulinda nyumba.mshahara shilingi 50.000.bima ya.afya na mahitaji ya msingi ni juu ya mwajiri.likizo kila mwisho wa mwezi na kila jumapili mchana.piga 0653 141189.mahali ni ukonga
 
Akihitajika house boy nishitueni aiseee, maisha yamekuwa makali kama ncha ya jambia 😅😅😅
 
Siku hizi kuna changamoto ya human trafficking, ningekusaidia kukuunganisha na dogo mmoja hivi yupo Singida. Ila ndo siwezi
 
Anahitajika msichana wa kazi..kuhudumia familia ya watu wa tatu.baba.mama mtoto.kuishi kwa tajiri.kazi kupika.kufua na kulinda nyumba.mshahara shilingi 50.000.bima ya.afya na mahitaji ya msingi ni juu ya mwajiri.likizo kila mwisho wa mwezi na kila jumapili mchana.piga 0653 141189.mahali ni ukonga
Umeshampata? Kuna mdada ananisumbua kweli nimtafutie kazi yoyote,nione kama utampa kazi!
 
Kwenye hilo naamini ataenda tu. Maana bahati nzuri namfahamu toka utotoni na maisha ya kwao. Hivyo huko hawezi kupakataa kamwe.
 
Umeshampata? Kuna mdada ananisumbua kweli nimtafutie kazi yoyote,nione kama utampa kazi!
Kuna Mama anahitaji Binti wa kazi ila yupo Moshi, muulize kama anaweza kwenda huko nikuunganishe
 
wa mtandaoni ndo wanakuja kuwasumbua mnarudi kulialia hapa
 
Yuko tayari mkuu ila Changamoto ni sehemu alipo anadai hana nauli mpaka aitafute akiipata ndo anaweza kusafiri.
 
Back
Top Bottom