BM X6
JF-Expert Member
- Nov 24, 2020
- 1,376
- 4,275
Mdada wa kazi za ndani anahitajika nchini Kenya, Nairobi. Umri kuanzia miaka 18 hadi 37
Familia ya watu wanne, Baba, Mama na watoto wawili mmoja ako Boarding school mwingine ndio anataka kuanza shule, hivyo majukumu makubwa ya mdada itakuwa ni kumpeleka mtoto shule na kumrudisha nyumbani pamoja na kazi ndogo ndogo za nyumba.
Mshahara ni Ksh 3,000
Inbox kwa maelezo zaidi