Msichana mwenye tabia njema

Chele2

Senior Member
Apr 5, 2013
102
5
Jaman wana jamvi (wakike tu),nahitaji msichana wa kumwoa kweli nipo serious,
Mim n mrefu wa wastan,maji ya kunde,mfanyakazi na nina umri wa miaka 27,Msichana
awe na sifa hizi:
-Umri 18-23 yrz
-Elimu kuanzia f.4
-Asiwe mchaga,mpare
-Akiwa na shughuli ya kufanya au wazo la kupenda kujishughulisha ni bora zaidi
-Asiwe mnene sana
-Asiwe mweusi sana
-Urefu kuanzia futi 4
-Awe mkoa wa Dar,Lindi,Mtwara,Dodoma,Morogoro au Ruvuma
Mwenye angalau nusu ya sifa hizo na anahitaji kwel kuwa na mwenza wa maisha aniPM
 
hapo kwenye red why? ukabila sasa huo
 

mmh! Umeleta mambo ya ukabla huku? Co mbaya utapata ------ au mzaramo.
 
plz plz nna sifa zote ila am 24 plz naomba uongeze mwaka mmoja tu kwenye vigezo!!!!!!!!
 

Nakuombea umpate mwenza.ila uwe serious.
 
Mkuu hapo kwenye futi 4 ukimwona utamkimbia, kama sio mtoto basi ni anduje balaa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…