Bandabichi
JF-Expert Member
- Jun 3, 2012
- 230
- 42
ata nashidwa nikushaurije subiri waliobobea kwenye hii fani.
mmmmh, utoto ni mapito tu.
Hapa ni mtihani wa maarifa, au lugha au hisabati???
ushasema bado upoupo kwanza....ushauriwe nini na maamuzi unayo mzeiya
muulize anataka ndoa au kuchachuana kuondoa hungry! kama ndoa it need more time to recognize mapungufu yake na yako (yenu) na strength zenu pia....sasa mkuu m2 mlikutana kwenye bench then mkaendelea kupigiana cm just for 3 months, jipen ample time, usiwage na papara kiviile.
changamkia, kama ana -meet your "required qualifications"/criteria
aaaah wapi! kwa mbali naona kama jamaa hamfeel sema basi tu bado ana kiwewe cha kuambiwa i loved u... wa aina hii akisha mchungulia tu huyo dada maungoni kwishney...dnt hurt her
Habari wakuu ndani ya jamvi.
Nimekutanae mara ya kwanza ktk inteview moja mjini DSM, Tukabadilishana namba za simu kwa lengo tupeane updates kuhusu hiyo interview. Ni miezi kama mitatu hivi imepita. Mawasiliano hayakuwa kivile ila wiki hili amekuja juu sana kimawasiliano. Anasema ameshawahi kutendwa na Ex wake na pia keshaoa.
Amekaa miaka kaa mitatu hivi bila kuwa na mahusiano yoyote na mtu.
Ananambia eti anoana kuwa naweza kuwa mme wake kama nipo tayari.
Swali kwa miezi mitatu kweli inatosha kwake au ni mapema kwake kufunguka. Je inakuwaje nisipomkubali, Mi sijaoa mabinti wapo ila niponipo kwanza USHAURI WAKUU>
zari ra mentari