Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 620
Mmmm watu wanawezwa guswa na hilo hitajio la huyo msichana tajwa, na kutaka kutoa msaada unaohitajika. Tatizo liko kwenye hilo jiba la mleta hoja (Al Shabab), loooih. Mleta hoja kabadili jina ndipo ujipange upya kutangaza!

jina limekuaje tena Mama Mdogo
Ndo kamiliza form four huyo LA Saba alikuwa na miaka mingapi au ni memkwa nope # zake basi ndo ugonjwa wangu huoHuyu hapa mkuu