Diwani Manoko wa kata ya Kirumba jijini Mwanza kupitia tiketi ya Chadema kafariki leo katika hospitali ya Bugando wald namba 7 baada ya kuugua kwa muda wa siku 2 kwa ugonjwa wa Pneumonia!

Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe................Mungu atatupatia mpiganaji mwingine...Poleni wana-Mwanza,CDM na wanamapinduzi wote..............
Pole kwa ndugu zangu wa kirumba msife moyo kabisa ndio kazi ya mungu.
Huu ugonjwa huwa nashindwa kuelewa ni kutokuelewa kwa madakatri au ni sisi weneyewe kutopenda kufanya check up ya mara kwa mara na kujiona tupo sawa all the time kume tu wagonjwa mbaya mtu akiumwa kidogo anapuuzia.