Diwani Manoko wa kata ya Kirumba jijini Mwanza kupitia tiketi ya Chadema kafariki leo katika hospitali ya Bugando wald namba 7 baada ya kuugua kwa muda wa siku 2 kwa ugonjwa wa Pneumonia!

<br />
<br />
ata hivyo watu wamekariri tu na wanafikiri kusema haina chanzo ndo wanafanya kitu chema bila kujiua kama kuna habari zingine mtu chanzo ni yeye mwenyewe.
Umetimiza Wajibu wako Mpiganaji, Kapumzike kwa Amani. Ulionyesha ukomavu katika mageuzi tokea pale ulipodhibiti ubadhilifu wa Mapato katika Mwalo wa Kirumba Mwaloni chini ya Taasisi ya MWADESO.
Nakumbuka wiki iliyopita nazungumza nawe nikiwa Mwanza ukiwa katika Afya njema kabisa, Mitaa ya Mwanza Hotel wakati tulipogongana Ofisi za Precision Air nikithibitisha safari. Thread hii naitazama kama Ndoto.