[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nataka wa ni banned na mm .....BANNER CJUI BANNED CJUI MODS CJUI NN .....BANNED NA MIMI NIJUE MNA BANNA NN [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bandle lenyewe limeisha Mimi Mkinipiga banned mwaka mtakuwa mmenisaidia sana maana kifurushi saiv kinaisha mapema [emoji6][emoji6][emoji135][emoji23][emoji23]
Fursa2017
Jovitha....Km Siku moja nipo home ilikuwa weekend, nasoma hadithi humu ya QUEEN MONICA .nagungua page nyingine naona maneno gani sijui kuangalia avatar naona
Banned nilijisikia vby
ShshshhhhhhJovitha....
Mie kwangu huwa nikipigwa BAN nikilog in inapeleka pale pale kwenye ukurasa wangu inanipa sababu za BAN yangu na itaisha lini. labda utumie device tofauti hahahahahahaHapo hamna namna zaidi ya ku-log out na kubakia kuwa guest tu mkuu
samahaniShshshhhhhh
[emoji12] [emoji12]samahani