Mshtuko wa kifungo/kufungiwa yaani BAN

Mkuu hebu tafuta mda, fanya uchunguzi na upembuzi yakinifu halafu tuletee uzi unaohusu wana JF wazoefu wa kula ban
 
Km Siku moja nipo home ilikuwa weekend, nasoma hadithi humu ya QUEEN MONICA .nagungua page nyingine naona maneno gani sijui kuangalia avatar naona
Banned nilijisikia vby
 
Km Siku moja nipo home ilikuwa weekend, nasoma hadithi humu ya QUEEN MONICA .nagungua page nyingine naona maneno gani sijui kuangalia avatar naona
Banned nilijisikia vby
Kifungo huja bila taarifa na hukukutia patamu kweli! Sijui kwanini inakuwa hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilishangaa nashindwa kuchangia kuulizia kosa naambiwa ni jaribio la kuhack account za watu nikashangaa
 
Hivi na ukitaka kuitoa iyo banned mnafanyaje jamani au kuna utaratibu upi unafuatwa kuludi ewani
 
jeiefu sio baba wala mama yangu, unapita kando tu hadi kifungo kitapopita...
Tena samtaimz ban linasaidia kukufanya ufanye mambo mengine mazuri zaidi. Uzuri unaweza kusoma kama guest kwahiyo hupitwi na yanayojiri...
 
Siku nilipopata ban nilifurah maana niliitafuta kwa kipindi kirefu. Ilikua likizo tamu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…