Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,619
- 5,653
We umewahi saidia!?Kwani ukimsaidia mshkaji utapungukiwa nini? Wewe saidia tu hiyo ni akiba yako ya baadae kama sadaka vile.
We umewahi saidia!?
Hivi mtu mzima kweli unaingia mjini huna mipango yoyote unaenda kukaa tu unajielewa kweli? huy jamaa yako anapenda vya dezo mtelemk tu kama hataki kazi ni vizuri arudi kwao kuna haja gani kuja kumbana mtu wakat unakwenu mtu kama huyo ata ukimtafutia mishe atafanya wiki ataacha watu kama hao wanapenda kukaa tu vijiweni
Wewe pika misosi mibaya mibaya kila siku ugali na mboga majani kila siku we unakula ulipotoka vizuri unamwambia hali mbaya mwezi tu huyo mtu anarudi kwao
Hichi ndio kinatufanya watanzania tuzidi kuwa masikiniJina lako emmanuel maana yake Mungu pamoja nasi sasa wewe mbona unataka kuwa shetani pamoja nawe?????
Kwani wewe kwenye hicho chumba umeoteshwa mizizi.???
Kama kweli una utu na upendo wa kusadidia tafuta chumba kingine wekeni godoro mshkaji wako ahame au wewe uhame..
Cha kwanza kabusa msaidie mshkaji wako kupata mishe ya kufanya..mkiweka malengo na wewe hpo kwenye system miezi mitano mshkaji wako atakua na getto lake..
Msaidie tu kwa kuwa huwezi jua wewe atakuja kukusaidia nani,
Tenda wema nenda zako msaada hauna risiti baba
Sasa hapo umefanya nini!??Wala sina haja ya kukujibu hili na huhitaji maelezo yotote toka kwangu maana hayakusaidii kwa lolote.
Sidhani kama kuna mahali kaandika jamaa hataki kazi na mvivu, sema inaonesha jamaa tu hajapata channel bado, kama ni mvivu na hataki kazi huyo wa kumuondoa kama ni bado mipango yake haijajiset ni kumvumilia tu.
Na mimi nimemshauri hivo asiangalie upande wa kubanwa tu..haya ni maisha na hayana formula..Maisha ni mzunguko..!!I know someone with the same story, Huyo jamaa hata hakua na urafiki wala undugu (Afadhali ya wewe), Lakini alifanya wema akamvumilia yule jamaa kwa miezi minne, Mungu alivyo wa ajabu jamaa alipata shavu nene balaa, Ndo anamsaidia yule mwenyeji wake sasahivi na kasaidia tena ndugu zake kadhaa kupata kazi kwenye kampuni alilopo.
Be Kind, Be Nice, Haikugharimu kitu chochote.
Hichi ndio kinatufanya watanzania tuzidi kuwa masikini
NISHAURI
NImwambie mzee baba ajisogeze niendelee na mishe zangu kwa uhuru au nimpotezee apambane na yeye hadi atakapo kuwa sawa?
Sielewi wadau nafanye nn coz hata muda atakaosepa sijui ni lini na mimi ndio sipend kabisa kubanwa
Nanitamwambiaje asepe ?
NAWASILISHA
Unamkaribisha mwanaume mwenzio, geto kwako, kukusalimia? Yani apande basi kuja kwako KUKUSALIMIA?
Duh! Ubaharia wa aina hii hasara sasa!
Lazima aruke na wewe tu