habari wana jamii natafuta patna ambae yupo sirious tufanyenae kilimo cha matikiti kwa msim huu wa masika project ianze mwezi wa 12 /1/2019
itaisha mwezi wanne.
tutalima hekari 6
patna awe na vigezo vifuatavyo
1 , awe tayari kuish karibu nashamba kwa siku 75 ambazo kufikia hapo tutakuwa tumemaliza kazi
2, awe tayari kuchangiana kiasi cha shilingi
600.000 ambazo tutachangiana
ilikufikia m 1.2 ambayo ita cost kilakitu nishapiga hesabu
3 . awe mwenyenia mchapakaxi pia
nb
maeneo nimbeya usanga ila alie tayari kutoka mkoa wowote hatakama anafamilia
mambo yamakazi tutafanya mpango kikubwa awe nania ya kazi tupige kazi miezi siku 75 hizo .
mawasiliano
kwa aliye tayari
cl.sms.wasap. 0752164502
tigo 0652300557
asante