Mshirika wa Mchungaji Mackenzie afariki kwa njaa gerezani

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,616
Joseph Juma Buyuka, alifariki kwa njaa baada ya yeye pamoja na washukiwa wengine kadhaa kuanza mgomo wa kutokula chakula mwanzoni mwa mwezi Juni, 2023, kwa kupinga kuzuiliwa kwao kwa kuhusika na mauaji ya Shakahola

Kati ya Watuhumiwa 29 wanaoshikiliwa, ikiwa ni pamoja na kiongozi wa kikundi hicho Paul Mackenzie, hakuna ambaye ameshitakiwa hadi sasa huku polisi wakiendelea na uchunguzi wao

Tokea kuenea kwa taarifa za Waumini kushawishiwa kufunga hadi kufa Aprili, 2023, miili 336 imefukuliwa huku watu wengine zaidi ya 600 wakiwa hawajulikani walipo


******


One of 30 suspects being held in police custody for his alleged role in Kenya’s doomsday starvation cult has died.

Joseph Juma Buyuka - along with some of the other suspects - had gone on hunger strike at the beginning of the month in protest at his detention.

He was then moved to a hospital in the south-eastern town of Malindi, where he died.

“We suspect that the deceased died from complications associated with a hunger strike. We can only await for a post-mortem to ascertain the cause of death,” a senior prosecutor informed a court in Mombasa, Kenya’s main coastal town.

None of the suspects, including cult leader Paul Nthenge Mackenzie, have yet been charged as police continue their investigations.

The self-proclaimed pastor and the other suspects are believed to have encouraged members of the Good News International Church to starve themselves to death.

Since April, 336 bodies have been exhumed from shallow graves in a remote forest. More than 600 other people are missing.

Two other detained suspects who have been on hunger strike have been admitted to hospital in critical condition.

The court is to decide next Tuesday whether Mr Mackenzie will remain in police custody for another 60 days


Source: Citizen Digital
 
Back
Top Bottom