Mshirika katika kilimo

kangau

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
258
Reaction score
258
Kwa Wanajavi na wadau wakilimo.
Natafuta mshiriki katika kilimo ambaye tunaweza unganisha nguvu na kufanya kazi pamoja. Nashamba ukubwa wa ekari 60 lipo dodoma nacho hitaji ni mtu wakushirikiana naye ili tuweze chimba kisima cha maji na kupiga kazi.
 
Dodoma kubwa mkuu. Ni vema ungesema ni dodoma ipi. Ili tuweze jua ni kilimo gani kinatakiwa kufanyika.
 
Dodoma chamwino mkuu..
23km kutoka ikulu ya chamwino
 
Kwa Wanajavi na wadau wakilimo.
Natafuta mshiriki katika kilimo ambaye tunaweza unganisha nguvu na kufanya kazi pamoja. Nashamba ukubwa wa ekari 60 lipo dodoma nacho hitaji ni mtu wakushirikiana naye ili tuweze chimba kisima cha maji na kupiga kazi.
Nikishakuchimbia kisima unaanzisha figisu ili tutengane naa mfaidika ni wewe hapo vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…