Mshindi wa bongo star search anusurika kufa

Mshindi wa bongo star search anusurika kufa

pamoja na pole zake lakini asianze kutanua sana kama alizoea basi apande basi tu hebu fikiri mafuta Dar Mby Dar, hizi hufanya watu wenye msingi mkubwa sana wa fdedha sasa yeye hela yenyewe ya zawadi hata hajaanza kuizungusha jamani?.......................ama badu si kwamba angepanda basi yasingemkuta but nawaza kwa sauti tu.....
 
Back
Top Bottom