UJUMBE WA SIMU YA MKONONI NILIOPOKEA KUTOKA KWA PASCAL CASSIAN...LEO MCHANA MAJIRA YA SAA NANE
"Wapendwa mungu mkubwa nimepinduka nagali natoka mbea kwahuduma nimeumia mguu namoja kavunjika yote miguu hapa kitonga namchungaji nilie kua nae imepnduka mala3 lakni na aihimidiwe mungu tena bado napumua vjana wangu wameumia nikopolin hapa kitonga by pasco casian imefeli gafla blek.."
Wapendwa Mungu Mkubwa. Nimepinduka na gari. Natokea Mbeya. Mguu wangu mmoja umeumia tu na mwingine umevunjika. Gari nililokua nalo limepinduka mara 3. Lilifeli brakes. Ahimidiwe mungu sababu bado ni mzima mimi. Vijana wenzangu niliokua nao nao wameumia. Tuko porini hapa Kitonga.
Ni mimi Pasco Casian
UJUMBE WA SIMU YA MKONONI NILIOPOKEA KUTOKA KWA PASCAL CASSIAN...LEO MCHANA MAJIRA YA SAA NANE
"Wapendwa mungu mkubwa nimepinduka nagali natoka mbea kwahuduma nimeumia mguu namoja kavunjika yote miguu hapa kitonga namchungaji nilie kua nae imepnduka mala3 lakni na aihimidiwe mungu tena bado napumua vjana wangu wameumia nikopolin hapa kitonga by pasco casian imefeli gafla blek.."
asante mhariri. Watu wengine kiswahili kibovu hadi kichefuchefu.
NB: nimeelewa kuwa huyo pasco kaumia mguu na mwenzake kavunjika yote