Bana mwambie akamue tu hayo maziwa ampe mwanawe kwa chupa, itamtesa sa kisaikolojia siku akianza kukompea mtoto na baba katika kumfikisha kileleni.
wala asimwachiche huyo mtoto haki yake kwani hana matatizo yeyote, hilo ni suala la ki-physiolijia zaidi wala haliendani na maadili hata kidogo.Jaribu kusoma jibu n ililomjibu huyo dada.
Bana mwambie akamue tu hayo maziwa ampe mwanawe kwa chupa, itamtesa sa kisaikolojia siku akianza kukompea mtoto na baba katika kumfikisha kileleni.
Mimi si mwanamke lakini naweza elezea kwanini inatokea hivyo, wengine pia watashauri. Hilo ni swala la kisaikolojia tu hapana shida nyingine, ni kwamba eneo lako sensitive linalo amshia hisia za kimapenzi na kukupelekea kwenye orgasm. Hapa yawezekana wewe na mpenzio wakati wa maandalizi mwenzi wako huchezea matiti na pengine kwa kuyanyonya, ndiyo maana mtoto akinyonya ubongo wako unakumbuka yale maandalizi kuelekea kwenye tendo ndo maana unajikuta umeingia katika hali hiyo. Nini cha kufanya nadhani wanasaikolojia wanahitajika kukuweka sawa. Hayo ndiyo mawazo yangu
sijasema amwachishe, bali atumie vifaa vya kukamua maziwa yake, ndipo ampatie mtoto, hili swala linaendana sana na maadili ndio maana hata katika jibu lako ulisema ni matatizo yanayo wapata wanawake lakini wengi wao huficha.
Many women who breastfeed have the experience of feeling aroused, and even having an orgasm, while breastfeeding. But because this is something researchers haven't studied, and it isn't a regular part of the education of mothers-to-be, many women experience this and then feel silent shame or guilt, as if there is something wrong with them. But there is a very clear reason for the experience and women neither need to feel shame or embarrassment about it which is caused mostly by a lack of information.