Bambanza jr.
JF-Expert Member
- Aug 6, 2011
- 355
- 36
Wakati jana polisi ikijeruhi na kuwaua baadhi raia waliopinga kuuwawa kwa wenzao na kinachosemekana kikundi cha siri toka msumbiji, wananchi wa eneo la mshangano wamemkamata raia m1 wa msumbiji ambaye alikuwa ni mgeni na kumshushia kipigo kizito kilichopelekea kifo chake!
Yani natamani wangemchoma moto akiwa hai kama imeshakua mbaya bora iwe mbaya
that is really bad! haya mambo ya kuchukua sheria mkononi ni mbaya sana! hata wale ambao ni innocent huwa hili linawakuta! it is bad! lakini yote haya ni kutokana na wananchi kutopata majibu ya maswali yao kuhusu usalama wao!
haijajulikana lkn kama kawaida polisi ..'wanafanya uchunguzi'Hii ni lawama kwa jeshi la polisi kutofanya maamuzi magumu mapema ss raia wa msumbiji waliopo hapo songea nahisi hawataweza kutembea mjini tena hadi hewa itulie,huyo mtu naye alikuwepo kwenye kundi la watu wanaofanya mauaji?
pametulia lkn tension ipo juu polisi wanatembea kwa makundi, wananchi wanajipanga kuendesha operation wenyewe, raia wa kigeni hawatoki nje!hari ikoje leo?