Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Ha ha ha, hapa Gambushi haioni ndani.
Ila Mshana sijui hata nikuweke category ipi, kumbe mpaka kuroga unajuaNina mchango mkubwa sana kwenye kufisha na kufifisha nyota ya chama pendwa
Nimeroga sana hapo kabla lakini mwaka huu nimeroga mpaka jasho langu likawa linanuka uchawi
Nilijenga vilinge majini
Nikajenga vilinge ardhini
Nikajenga na angali
Nimepandikiza gundu kwenye rangi za chama
Wagombea nikawatupia gundu la kinyesi..mkubwa kabisa nikampiga jini kisirani
Nimeroga wala sijisifu ..nimeroga mpaka uchawi ukanikifu
Malighafi zangu maarufu zilikuwa ni
Maji ya gundu
Maji ya janaba bichi
Damu Chafu
Majani ya mkafiri
Nyota ya nuksi
Kinyesi cha popo/ngozi ya kinyonga
Mizizi ya mti chonganishi
Nikavaa koti la ugaguzi..walipokuja nikawapiga gundu wajumbe wakawaona kama maliwato ya jiji
Nikavaa koti la ulokole walipokuja kwa maombi nikawapiga muhuri wa upofu na kuzima nyota zao...walipojitokeza upenuni wajinadi wakakimbiwa na kuzomewa...
Nimejenga madhabahu za giza nyuani mwao
Nikajenga zingine kondeni
Na zingine kwenye mapito yao..hakuna nilipobakisha...na kila waliporudi kwangu kulalamika nikawaambia wamekosea masharti
Project inaendelea..huu ni mrejesho sehemu ya kwanza...mkiona wanakimbiwa..tambueni kuna miba za nungunungu zimetegwa kila pahala...
Hivi janaba Ni mixture ya magoli ya me na ke,? Na Kama mlitumia condomu kuna janaba?Malighafi bora ya kumfunga mtu nyota kizazi ama kufarakanisha ama kutengeneza limbwata
Giza ndio asili ndio chanzo....kwenye uumbajiGiza na nuru havikai pamoja.
Subiri October 28 utagundua umejichosha bure kutafuta ngozi za vinyonga.
Ni nomaIla Mshana sijui hata nikuweke category ipi, kumbe mpaka kuroga unajua
Siku akiamka kuhubiri utamshangaa, siku akiamka kurusha ungo ndo baasNi noma
Duuh.mshana wewe sikuweziUle muingiliano ndio muhimu zaidi...kwenye condom unachukua vya nje na vya ndani unachanganya na maji ya mochwari nk
Tulia wewe dawa ikuingietafuna pesa za madiwani wa upinzani
Ila October kichapo kipo pale pale
Tutawafundisha mwaka huu kuwa usaliti kwa Nchi ni laana
Kusema kweli ni kumuaibisha shetani...mimi nimeroga sana katika maisha yangu...nimewachawia wengi tu
Kwakuwa Mungu wetu ni mmoja na katika yeye kila goti litapigwa kwakuwa msalaba ndio asili ya mema yote na hapo ndio tunatua mizigo yetu yote ikiwemo ushirikina ndumba na ulozi
Nipe pole..!Unachokitafuta utakipata..