Usiwe hivyo mkuu, kumsifia mtu Kwa jambo analofanya mbona ni kawaida?
Kuna muda unaiona jamiiforum kabisa inapoteza dira,lakini mshana huwa anachangamsha jukwaa na mada zake tofauti tofauti,na nyingi zina tija.
Kosa lake kubwa ni kuichukia CCM waziwazi (jokes)π