VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Vuta-nkuvute....wewe mwongo mbona mimi siioni hiyo mishahara miwili?
Vuta-nkuvute....wewe mwongo mbona mimi siioni hiyo mishahara miwili?
Katika kile kinachoonekana kama uzembe wa wahusika, mshahara wa Watumishi wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi almaarufu kama CMA wameingiziwa mishahara yao mara mbilimbili.
Ni neema kwao lakini ni fedheha kwa Serikali. Watumishi wengi wa Tume hiyo tayari wameshatoa kiasi kilichozidi.
Ikumbukwe kuwa watumishi wa Taasisi nyingine za Serikali hadi leo hawajapata mishahara yao.
Ni taarifa rasmi hizi. Si tetesi...