NetworkEngineer
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 1,973
- 1,204
Samahani wakuu nahitaji kujua kiasi cha mshahara wa watu wa mizani (weighbridge operators) wa TANROADS.
Samahani wakuu nahitaji kujua kiasi cha mshahara wa watu wa mizani (weighbridge operators) wa TANROADS.
90,000
Tsh 100, unataka kujua mshahara kabla hujapata kazi, it doesn't make any sens..Mshahara upo ndani ya mkataba na mkataba utaupata endapo utaipata kazi na mshahara ni siri ya . Grow up
Take home laki nane plus lesheni tarehe kumi na tano laki 3 plus other packages za ziada za kuzidi mizigo komaa kama umeitwa interview ndo maana nafasi 6 short list mia 260 kuna maslah sio kirahisi kuingia komaa kama umeitwa
Laki 4 kwa mwezi,na kila siku akiwa kazini anapewa elfu 10 za Lunch
Tsh 100, unataka kujua mshahara kabla hujapata kazi, it doesn't make any sens..Mshahara upo ndani ya mkataba na mkataba utaupata endapo utaipata kazi na mshahara ni siri ya . Grow up
Unajua humu jamii forum nimeona watu wanaponda sana mtu akiuliza kuusu mishahara, lakini kiukweli hio ni hakiya kila mtu katika hii dunia ya sasa ndio maana ukiangaa sana matangazo ya mashirika ya kimataifa au fungua website za kazi za Europe marekani utaona wameweka kazi na mshahara wake ili wewe una apply ujue kama utaendana na mshahara, iliusijpotezee muda wako aumuda wao cos hakuna mtu ambae huwa anaendakuomba kazi sababu anaipenda kampuni lia hela, so wasaidieni wote wanaoomba kujuamshhara kama unaujua.
kumbe kumenona nonaSalary take home 610,000...monthly allowance 300,000...bado za kuiba
Salary take home 610,000...monthly allowance 300,000...bado za kuiba
840, take home 610. huo ni mshahala wa technician Tanroad, lazima uwe na FTC ya civil, mechanical or electrical. plus night and meal allowance 300.
selfish
Wanawalipa hivyo ili wasiwe na tamaa ya kupokea rushwa kutoka kwa madereva na wamiliki wa malori na mabasi ili wazidishe uzito na kusababisha ajali na kuharibika kwa barabara, hali ambayo inaigharibu serikali kuingia gharama za kutengeneza upya barabara!duh! wanamzidi hadi mwalimu wa degree
Wanawalipa hivyo ili wasiwe na tamaa ya kupokea rushwa kutoka kwa madereva na wamiliki wa malori na mabasi ili wazidishe uzito na kusababisha ajali na kuharibika kwa barabara, hali ambayo inaigharibu serikali kuingia gharama za kutengeneza upya barabara!
Tsh 100, unataka kujua mshahara kabla hujapata kazi, it doesn't make any sens..Mshahara upo ndani ya mkataba na mkataba utaupata endapo utaipata kazi na mshahara ni siri ya . Grow up
kumbe inalipa aisee