The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 824
Wakuu, hivi watumishi wa bunge (non MPs) scale salary yao na kiwango cha posho na malazi inaanzia ngapi kwa mtu mwenye diploma na bachelor?
Nahitaji kujua kama viwango vyao vya mishahara vinavyotofautiana na watumishi wa kada nyingine, maana niliwahi kusikia kuwa mishahara ya watumishi wa bunge ni mikubwa ila sijajua ni kwa kiasi gani.