Mshahara wa watendaji wa vijiji

We ni mbuzi kweli mwenyekiti tena. hapa tunaongelea mtendaji. halafu unakataa nini kuwa veos std7 kuwa hawapo? mimi WEO wangu ni std7 kaajiliwa kama kaim veo 97 na akathibitishwa kuwa veo kamili 2001 sasa ni weo, usibishe nyambafff ww

Hahahaa mkuu nakuona ukiwa kwenye ubora wako wa kukosoa na kurekebisha mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…