Mshahara wa usaliti ni usaliti

Ninja

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
353
543
Ridhiwani, Nape, Msukuma, Vicky Kamata, Dalali Kafumu, the Sepetus, Kitwanga....ongezea wengine...

Najaribu kurudisha picha ya jinsi mlivyokuwa mkimnadi mgombea wa CCM, halafu na sasa hivi yaliyowapata.... ushauri wangu kwenu ni kuwa chakula mlichojipakulia hakikisheni mnakila na kukimaliza. Mwenzenu Komba alitunga kawimbo katamu ka karne halafu kama alistuka vile akatoroka zake...maana kukaimba katamu sana ila kukacheza sasa...

Ukipanda usaliti, utavuna usaliti... mlisaliti mioyo yenu kwa kushabikia msichokiamini kwa dhati, kwa sasa msiendeleze usaliti...

Endeleeni kumuunga mkono JPM kama mlivyofanya kwenye kampeni.

Hongereni ndugu zangu kwa kupewa mshahara wenu mapema, namwonea huruma Makonda...maana yeye ndio hataamini kitakachompata kwa JPM. Ndio atajua kuwa JPM has got no permanent friends...

Haya mods nawaona mnasubiri kuunganisha uzi...

Wakuu mods wasipounga huu uzi, basi naomba mwongeze majina hapa ya waanga wa mafuriko ya MagufuTsunami...ili tutoe rambirambi zetu.

"tumeipenda wenyewe, tantara, chaguo letu wenyewe..."
 
Nilitaka kuwasahau mawingu media..
 
Ni yule Nape wa kuzuwia mafuriko ya Lowassa kwa kidole? Ama kweli siasa huinua na siasa huangusha.Maisha yanaendelea
 
Back
Top Bottom