Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,718 Reaction score 126,563 Aug 18, 2022 #61 mutu murefu said: Hapo HELSB wamechkua chao? Au bila HESLB Click to expand... MD wanaosoma vyuo vya serikali huwa wanapewa ruzuku ya Ada, kwa hiyo makato ya HESLB hayatakuwa makubwa kivile.
mutu murefu said: Hapo HELSB wamechkua chao? Au bila HESLB Click to expand... MD wanaosoma vyuo vya serikali huwa wanapewa ruzuku ya Ada, kwa hiyo makato ya HESLB hayatakuwa makubwa kivile.
P Project Engineer JF-Expert Member Joined Aug 27, 2019 Posts 3,578 Reaction score 6,087 Aug 18, 2022 #62 Lusungo said: Hapo washapata mtu wao. Click to expand... -Wahuni tu hao! nimechukia kuambiwa sijui ninacho present ! wamenidhalilisha sana aisee.
Lusungo said: Hapo washapata mtu wao. Click to expand... -Wahuni tu hao! nimechukia kuambiwa sijui ninacho present ! wamenidhalilisha sana aisee.
mutu murefu JF-Expert Member Joined Jan 3, 2017 Posts 1,037 Reaction score 2,736 Aug 18, 2022 #63 Mwifwa said: MD wanaosoma vyuo vya serikali huwa wanapewa ruzuku ya Ada, kwa hiyo makato ya HESLB hayatakuwa makubwa kivile. Click to expand... Oh hapo nmekupata chief
Mwifwa said: MD wanaosoma vyuo vya serikali huwa wanapewa ruzuku ya Ada, kwa hiyo makato ya HESLB hayatakuwa makubwa kivile. Click to expand... Oh hapo nmekupata chief
Naantombe Mushi JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 6,254 Reaction score 15,735 Aug 18, 2022 #64 BALENSIAGA said: nimefanya presentation wananiambia sieleweki ninacho- present, Nimeulizwa maswali magumu ajabu. Click to expand... Duh pole mkuu
BALENSIAGA said: nimefanya presentation wananiambia sieleweki ninacho- present, Nimeulizwa maswali magumu ajabu. Click to expand... Duh pole mkuu
MoseKing JF-Expert Member Joined Jul 5, 2017 Posts 4,913 Reaction score 9,012 Feb 4, 2023 #65 Mwifwa said: MD wanaosoma vyuo vya serikali huwa wanapewa ruzuku ya Ada, kwa hiyo makato ya HESLB hayatakuwa makubwa kivile. Click to expand... Hizi stori ulizipata wapi?
Mwifwa said: MD wanaosoma vyuo vya serikali huwa wanapewa ruzuku ya Ada, kwa hiyo makato ya HESLB hayatakuwa makubwa kivile. Click to expand... Hizi stori ulizipata wapi?
M MTZ 255Dar JF-Expert Member Joined Sep 25, 2018 Posts 1,152 Reaction score 3,967 Feb 4, 2023 #66 gorilla 1 said: Hivi baada ya makato ( pamoja na makato ya bodi ya mikopo HESLB) hiyo 1.6m na 1.9m zinabakia shilingi ngapi ? Click to expand... Makato yote ni 30% nje ya mkopo WA nje. 1,900,000-(0.30 × 1,900,000) = 1, 330, 000/= Hiyo ndio take home kwa mshahara wa 1.9M
gorilla 1 said: Hivi baada ya makato ( pamoja na makato ya bodi ya mikopo HESLB) hiyo 1.6m na 1.9m zinabakia shilingi ngapi ? Click to expand... Makato yote ni 30% nje ya mkopo WA nje. 1,900,000-(0.30 × 1,900,000) = 1, 330, 000/= Hiyo ndio take home kwa mshahara wa 1.9M